Mkuu wa Wilaya ya Kyela asimamishwa kazi baada ya kufumaniwa na mkewe

Huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!

Huyu mke amekosa hekima. Ameivunja ndoa yake kwa mikono yake. Unless aseme naye alishamchoka huyo mume. Ana uhakika yeye ni msafi kabisa? Kweli inakera lakini haikuwa busara kupanga fumanizi kwa mumewe. Angeweza kumshataki kulingana na imani yao. Sasa ameachishwa kazi. Amepata faida gani.
 
Mkuu wa wilaya ya kyela nimwanamke.... Huyu Mtoa hoja ni muongo na mnafiki..... Halafu watanzania bwanaaaa yaani mijitu mingine inachangiaaaa tuu bila ata kujua Kama ni habari sahihi... Shame on you all negative mind people... Admin JF onesha umakini futaa ujinga huu na uzushi wa Mtoa mada

Usitutukane bana, tutawezaje kujua kila uzi unaoletwa humu ni uongo au kweli?
 
huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!

ukiachika uliko uje nikuoe we ndo mwanamke wa kiafrika haswa, ahsante.
 
Huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!
Na baada ya hapo ataendelela kuishi naye
 
Nauliza hivi! Ni nani aliyemsimamisha kazi? Ambaye hajawahi fanya hiyo dhambi (miongoni mwa mabosi wake na mamlaka zake za uteuzi) na awe wa kwanza kusema asimamishwe kazi.
 
Huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!
Kume (badili helufi ya mwisho kwenye neno la kwanza isomeke 'a' ) mbuzi hawa CCM
 
Huyo mama hana maadili, ukimuaibisha mmeo/mkeo unaaibisha familia na hasa watoto. Lakini zaidi ya hapo familia ndiyo muhanga namba moja wa sakata hilo, sasa zigo lote la kuilea familia litamuangukia huyo mama asiye na maadili, kama wana watoto wanaosoma wasipojipanga sawasawa baadhi ya watoto watashindwa kuendelea na siku zote wakipata matatizo katika maisha kutokana na kukatiza masomo watamlaani kwa nguvu zao zote huyo mama asiye na maadili.
 
Nauliza hivi! Ni nani aliyemsimamisha kazi? Ambaye hajawahi fanya hiyo dhambi (miongoni mwa mabosi wake na mamlaka zake za uteuzi) na awe wa kwanza kusema asimamishwe kazi.

Nimekuja mbio nikidhani ni habari mpya kumbe ni ya wakati ule? Ningeshangaa huyo kusimamishwa wakati leo tunasikia wabunge kama Vick Kamata anakamatwa na Polisi kwa kuwatukana na kuwatisha wabunge wenzie kwa SMS kwa kushirikiana na kigogo mwingine Bungeni na hakuna lolote linalote linalochukuliwa hatua kama ukiukaji wa maadili.
 
Huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!

Nimeipenda hii kwasababu kama wangemaliza kifamilia mume wake angekuwa bado yuko kazini na akipatacho (mshahara) kingesaidia Kulea watoto kama sio familia yote pamoja na mke huyo.

Siku hizi si wanawake wala wanaume, wote wameharibika kiasi kwamba karibu kila mwenye mke/mume ana wa pembeni! Mungu atusamehe tu dhambi hiyo maana imekaa mahali ambapo karibu kila mtu anapahitaji.
 
Huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!

Ni wanawake wachache sana wenye busara kama zako kwa wakati huu, nafikiri mpaka leo Kitendo alichokifanya huyo mwanamke anajutia.

Usikute huyo mwanamke anawatoto watatu au wanne, au ameshafunga na kuzaa kabisa lakini anaamua kufanya maamuzi ya kufurahisha ulimwengu.

Mwisho wake wanaenda kusuluhisha kifamilia wakati alikua na uwezo wa kufanya kabla.
 
Huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!

Wewe dada nimekupenda ulivyo na busara, yaani nimekupendaaaa...naomba tuongee ili tukikamatwa wewe na mumeo myamalize kimya kimya kwa busara..mana dah safi sana
 
Jodeny,
Mbona mnachangia post hii ya mwaka 2008?

Hii habari sio mpya, someni pale juu kwa aliyeanzisha na angalia tarehe.
Duh! huu waya umejaa uzushi, uwongo na upotoshaji mkubwa. Tulio wengi tunatumia jamvi hili kama mahali pa kujifunza na kupata taarifa kuhusiana na mambo yanavyokwenda ndani na nje ya Tanzania sasa inapotokea mtu akakurupuka na kuzusha jambo na tukapoteza muda kusoma haipendekezi. Kifupi ni kwamba, Mkuu wa Wilaya ya Kyela anaitwa Magreth Malenga ni mwanamama huyu na si dume. Alichukua nafasi ya Rajabu Kihato aliyehamishwa miaka kadhaa wakati JK alipofanya mabadiliko ya MADC. Kihato alichukua nafasi ya DC mmoja anaitwa Mashimba, ambaye aliachwa katika awamu ya kwanza JK alipoingia madarakani. Labda utatuambia umekosea na aliyefumaniwa ni huyo mama, lakini yeye yuko ofisini kama kawaida anaendeleza libeneke. Shame
 
Back
Top Bottom