Mkuu wa shule alisema si muelewane tu!

SnowBall umenifurahisha, sijui kwanini baadhi yetu tunashupalia hizi lugha wakati inajulikana wazi kuwa wengi wetu tumeanzia lugha za makabila yetu na kusahau Kisw na Kiingereza tumejifunzi shuleni? Mi nakumbuka wakati nasoma huko vijijini kuna watu hata kuongea kiswahili ilikuwa shida achilia mbali lugha zingine.

Ni vyema tukajitahidi kuelewa mtoa mada anataka kuleta ujumbe gani then tukauchambua huo.

JF ni darasa lisilokuwa na kuta nne. Tunajifunza mengi humu.
 
si alikukaripia na ulipokomaa mkiwa pembeni akacheka tu,ikakupa moyo wa kuendelea,alipojichanganya ni pale alipokuita nyumbani eti ukafanye usafi. Wizara ya elimu ha ha ha.
 
Back
Top Bottom