Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu

acha utoto kwenye mambo magum wewe kojoa ulale
 
Tumalize kwanza hili la kuwapumzisha watoto kwanza tafadhali!
 
mkuu wengine humu hata kusikiliza au kuangalia habari kwenye vyombo vya habari hawaangalii... .ye anategemea habari za fb tu.
Alafu mijitu kama hii ilibidi ile sheria ya cybercrime itumike kuwafundisha adabu.
 
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
Kwaiyo akikamatwa ndo itasaidia nini mbele ya vifo 35 vilivyotokea Mkuu acha jazba ww!!!
 
Kwa nn likitokea jambo ndo tunaanza kupalamia watu, inaonesha tunaudhaifu katika Sheria zetu za usafiri mpaka janga litokee ndo tuwanze kukamata watu c kweli

Mbona Mwendo kasi DART watu tunapangana kama kumbi kumbi kwenye mashindo ndo desturi ya nchi masikini hamna prevention mpaka hatari itokee ndo watu waone hahaaa kuwa mwafrika ni ajabu sana

Hivi Kwa wakazi wa Dar umeshawahi kufikiri siku gari la mwendokasi likianguka litaua watu wangapi ?? Kwani watu hawaoni!!?

Watanzania tuwe na macho ya kuzuia ajali wenyewe c ikitokea ndo tunapandwa na hasira na kuamuru watu wakamatwe, vyombo vyetu viko wapi, walikopita hawajakutana navyo?

Ni kweli mashule yote Watoto kwenye mabasi hayo huwa muda wote wamekaa "sit level" tuchukue hata

Dart wameweka namba zao pigs uone zote unakuta hazipayikani , nchi za afrika ni Mungu tu hamna umakini kwenye prevention ya accidents
 
Mkuu wa shule ya Lucky Vincent ashitakiwe kwa kosa LA kusababisha mauaji baada ya kuruhusu Gari ya kubeba abiria 28 ibebe abiria 40. Bila uzembe wa Huyu Mkuu, idadi ya marehemu ingekuwa ni ndogo. Polisi wamshughulikie kikamilifu
Kinachoshangaza ni kwa nini hakuhojiwa wala hakutoa Neno lolote kuhusu tukio lililotokea, hata Pole kwa Familia zilizoatharika na Msiba huo??
 
OSHA inabidi iingie kazini kila seat iwe na mkanda.seat isiyo na mkanda asikalie mtu,mbona viwandani na migodini wamewadhibiti.staff basi za migodini zote zina mikanda na ni lazima kutumia kwa yeyote atakaepanda..itengenezwe sheria kampuni zote za usafirishaji wa abiria ziwe na maafisa usalama kazini kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya usalama kazini madereva na makonda wao mara kwa mara
 
Kinachoshangaza ni kwa nini hakuhojiwa wala hakutoa Neno lolote kuhusu tukio lililotokea, hata Pole kwa Familia zilizoatharika na Msiba huo??
Habari zote zinazohusu hiyo ajali na za shuleni unazo?
 
hivi hiyo sehemu ma engineer wa mji kwa nini wasiwajibishwe kwa kutoliwekea kingo hilo daraja pamoja na uwembamb wake.
tukitaka mtu wa kuwajibishwa ubovu wa njia nao ni sababu
 
hivi hiyo sehemu ma engineer wa mji kwa nini wasiwajibishwe kwa kutoliwekea kingo hilo daraja pamoja na uwembamb wake.
tukitaka mtu wa kuwajibishwa ubovu wa njia nao ni sababu
Mkuu umenena sawa kabisa cc bujibuji
 
Back
Top Bottom