Mkuu wa Shirika la fedha dunia kuishia jela kwa kumbaka mama wa Mguinea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa Shirika la fedha dunia kuishia jela kwa kumbaka mama wa Mguinea

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Candid Scope, May 20, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mtafaruku wa Mkuu wa Shirika la Fedha duniani kushawishika na mwanamke wa kiafrika mwenye mtoto wa miaka 9 akiwa mfanyakazi hotelini na kuishia kulazimisha mapenzi bila ridhaa yake. Ninachoshangaa wanawake wa kiafrika kumbe ni moto wa kuotea mbali, mpaka tajiri mwenye ndoto za kuwa Rais wa Ufaransa ameishia kupoteza kazi yake ya sasa, kuacha kampeni za kugombea urais ufaransa na kubaki kusubiria kesi ya kumbaka mwanamke mweuzi wa Guinea ya pembe ya afrika, sasa anasota gerezani huku ulimwengu ukiona kama ni ndoto ya kuwazika tu lakini ndio hali halisi ilivyo.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Possibility ya kusema Bw. Strauss-Kahn kavishwa hizo shutuma ni kubwa saaana, hizo ni propaganda za politics tu! Hata hivyo nisiende mbali saana...


  :focus:

  Candid S.. usiniambie ulikua hujalitambua hilo kua sisi wamama wa kiafrika moto wa kuotea mbali... ningependa kweli nijue we ni race gani ili walau nipate picha....
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Angekuwa mrembo wa kimarekani ningeamini kwamba ni propaganda za kumshika koti asiendelee na kazi ya kugombea urais, lakini yule mama wa kiafrika inaingia akilini mwangu alifanya kitu hicho, kwani kwa wafaransa ni jadi yao. Wengi huenda huwafanyia hivyo lakini wakilalamika humalizana kwa kumegewa mapesa kidogo, lakini huyu mweuzi alimdharau mradi kamaliza kiu yake.
   
 4. t

  tunda Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  The details of this thread are misreading and not true...please follow-up the news and report correctly... mtoto si wa miaka 9, huyo jamaa hajafungwa...kupakwa ni kupakwa si kwa sababu ya uzuri....nk.
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hawa watu wanafanya vitu kwa strategies... wangechukua mrembo majority wangesema wamekubaliana na wala huruma kwa huyo mrembo isingekua kubwa... on the other hand kumchukua mtu mzima mmama asie mrembo ina rise sympathy because she is a family woman... I believe wewe ni mkaka - JIULIZE why Strauss-Kahn ahangaike kumlazimisha huyo mama na hali angeweza kumwita call gal hapo hapo awe delivered?? kwa huyo mama alimvutia mpaka akashindwa vumilia? au alikunywa viagra bila kua na mtu akataka pakupozea? HAINA logic but kupata jibu tusubiri tuone mambo yatavyoenda...

   
Loading...