Kwa hiyo disco watu wanacheza wapi?Katika hali isiyokuwa ya kawaida mkuu wa mkoa Kilimanjaro amepiga stop shughuli zote zinaendeshwa na kumbi za starehe katika mkoa wa Kilimnjaro hususani katika mji wa Moshi kwa madai kuwa zinaharibu maadili. Nimeanzisha uzi huuu makusudi na kuuleta kwenu ili tujue hali ya maadili ktk mkoa wa kilimanjaro iko je?
Tanzania ina viongozi vilaza wengi sana sijui hata huyo anayewachagua hua anaangalia vigezo gani...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mkuu wa mkoa Kilimanjaro amepiga stop shughuli zote zinaendeshwa na kumbi za starehe katika mkoa wa Kilimnjaro hususani katika mji wa Moshi kwa madai kuwa zinaharibu maadili. Nimeanzisha uzi huu makusudi na kuuleta kwenu ili tujue hali ya maadili ktk mkoa wa Kilimanjaro iko je?
When you become obese your internal organs (brains not spared) get suffocated and squeezed big time
Ameanza mazoezi - he looks like he is going to burst anytime?