Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro apiga stop kumbi za starehe kuendesha shughuli zake

DR. PHONE

JF-Expert Member
Nov 12, 2012
504
91
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mkuu wa mkoa Kilimanjaro amepiga stop shughuli zote zinaendeshwa na kumbi za starehe katika mkoa wa Kilimnjaro hususani katika mji wa Moshi kwa madai kuwa zinaharibu maadili. Nimeanzisha uzi huu makusudi na kuuleta kwenu ili tujue hali ya maadili ktk mkoa wa Kilimanjaro iko je?
 
Suala muhimu hapo ni shughuli za kiuchumi in terms of ajira na mapato kwa wahusika; Sioni mantiki ya Mkuu huyu kufanya uamuzi husika, kwani tayari kuna sheria mbalimmbali mahususi kwa kukabiliana na tatizo la maadili, kelele n.k, tatizo ni lack of enforcement; kwanini asijikite zaidi katika hilo, hasa ikizingatiwa kwamba kwa nafasi yake, anatakiwa kusimamia law and order?
 
Unawezaje kupima hali ya maadili kwa kukaa nyuma ya key board? kumbi za starehe ndo zinaharibu maadili?
mambo mengine hayahitaji akili kubwa kufikiria bana.:A S angry:
 
Yeye kama nani mpaka aamue hivyo??Nadhani katika maamuzi amefanya maamuzi wrong, ndio mwanzo wa umwagaji damu, nani atakubali, yeye anakaaa kwenye kiyoyozi anakula raha na hao wenye kumbi za starehe si ni moja ya kazi hiyo??sasa na wenyewe watapata wapi hela ya kula?Ningekuwa mimi nina ukumbi wa starehe ningeendelea na kazi kama kawaida, then nadhani sheria ingefata mkondo wake after hapo, kilaza huyuu
 
Tanzania ina viongozi vilaza wengi sana sijui hata huyo anayewachagua hua anaangalia vigezo gani...
 
Duuh.. Hizo sehemu za starehe ci zinaendeshwa kwa sheria za nchi na kanuni za manispaa..? Sasa yeye kama anapiga marufuku kitu ambacho kimeruhuciwa kisheria na kikanuni atakuwa amekurupuka.. Aangalie sheria na kanuni zinasemaje ili aweze kuwabania huko wanakokosea.. Sio amekaa na mke wake nyumbani kesho yake akurupuke na maagizo batli..
 
leseni zimeshalipiwa, je atawanyang'anya? TRA nao wameshachukua? je nchi itaendelea kukosa mapato au? ajira lukuki kwa wadada na wakaka zinapotea? je mkuu wa mkoa ana mbadala?

okay, wale wa La Liga na Pub Alberto mnasemaje?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mkuu wa mkoa Kilimanjaro amepiga stop shughuli zote zinaendeshwa na kumbi za starehe katika mkoa wa Kilimnjaro hususani katika mji wa Moshi kwa madai kuwa zinaharibu maadili. Nimeanzisha uzi huuu makusudi na kuuleta kwenu ili tujue hali ya maadili ktk mkoa wa kilimanjaro iko je?
Kwa hiyo disco watu wanacheza wapi?
Kweli ndugu zetu mnapelekeshwa
 
huyu nae anatekeleza sera za chama au sera zake na mke wake,, maana kama maadili ameshindwa kuanza kwa familia inakuaje apo,,, binafsi sijajua kwanza kama ana mamlaka ya kuzuia hili, pili hajatoa sababu za msingi yaani sababu pandikizi za kueleweka,, naona kwa ufupi uwezo wake wa kuamua pamoja na kutenda upo chini ya kiwango na sidhan kama ana sifa za kuwa kiongozi we sema wanapeana tu
 
Tanzania ina viongozi vilaza wengi sana sijui hata huyo anayewachagua hua anaangalia vigezo gani...

kiongozi akiwa kilaza hata waliomchagua nao ni vilaza wakaona bora huyu kidogo atafanya jambo. sisi wananchi ndio vilaza kwa kuwapa watu hawa wasiojielewa hata wenyewe dhamana ya kuongoza nchi yetu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mkuu wa mkoa Kilimanjaro amepiga stop shughuli zote zinaendeshwa na kumbi za starehe katika mkoa wa Kilimnjaro hususani katika mji wa Moshi kwa madai kuwa zinaharibu maadili. Nimeanzisha uzi huu makusudi na kuuleta kwenu ili tujue hali ya maadili ktk mkoa wa Kilimanjaro iko je?

mfalme juha, kusadikika, hawala ya fedha..........
lo ama kweli sanaa ni uwasilishwaji wa maisha halisi katika namna nyingine, yaweza kuwa nyimbo,hadithi ama tamthilia.
hapa tunasema tuna viongozi.
 
Huyu jamaa kwa sababu amekataza watu kukata miti amefanikiwa sasa naona kaingilia na starehe pia
 
Nimeamini kuwa na tumbo kubwa kunapunguza uwezo wa kufikiria nani kamdanganya maadili yanaharibiwa kwenye kumbi za starehe tuu.Hajui kuna wanao huzuria nyumba za ibada ili hawana maadili mazur.kama hajajiandaa kuipa familia yake burudani achie wenzake
 
yani ye kaona kumbi za starehe tu ndio zinazoharibu maadili, vingine vingi na vikubwa kaviacha, nchi yetu kila kukicha ni vioja.
 
When you become obese your internal organs (brains not spared) get suffocated and squeezed big time

GAMAT.jpg
 
basi afungie televisheni zote huko kilimanjaro na awafungie watu wasikutane na watu kutoka sehemu nyingine, azuie magazeti na vijarida vyote vinavyotoa habari na taarifa mbalimbali, aanze kufwatilia malezi ya watoto na maisha ya wananndoa nyumba kwa nyumba. mmomonyoko wa maadili ni swala mtambuka yeye ana yake.
 
When you become obese your internal organs (brains not spared) get suffocated and squeezed big time

GAMAT.jpg

magamba bwana ukiwaona watu kumbe si kitu. sijui hata kwa mkewe anajivunia nini kama anaweza kufanya maamuzi ya namna hii hadharani.
 
Hahahah mwaka jana alikuja kutambulishwa ofc flan nilokuwa napiga tempo bac akatukuta vijana tuko bize na ishu zetu ...kutahamaki twaambiwa mkuu wa mkoa huyu lol huo mwili nilibaki kinywa wazi bonge la mtu
Ameanza mazoezi - he looks like he is going to burst anytime?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom