Nimesikiliza nakuona video ya Mkutano wa Hapi na wanaringa. Magufuli anaipeleka nchi pabaya. Hawezi kuwapa vitoto ukuu wa mkoa au wilaya, watoto ambao hawajielewi wala hawajui sheria inasemaje. Hapi kamweka Diwani wa CHADEMA ndani eti kwasababu ya kuvunja nyumba ya mwanaccm.
Nimuulize Hapi je huyu mwanaccm nyumba yake iliyovunjwa ilijengwa ndani ya hifadhi. Huyo aliyevunjiwa wala siyo nyumba kwani ilikuwa bado inajengwa. Mwenyewe akasema ilikuwa hata aijawekwa paa.
Manispaa wanao uwezo wa kubomoa nyumba yoyote hata likiwa imeisha kama atakuwa ajafuata sheria. Halafu huyu Diwani hana mgambo, mgambo ni wa manispaa kwahiyo nyumba ilivunjwa na MANISPAA YA IRINGA SIYO DIWANI WA CHADEMA.
Halafu kwanini alikuwa hataki kumpa nafasi diwani nae aeleze jinsi ilivyokuwa. Yaani yote haya kwasababu manispaa inaongozwa na Opposition. Magufuli anaiangamiza nchi.
Hivi huyu Hapi ni mtoto wa Warioba, kama ni wake basi hapa Warioba aliteleza au alipakaziwa. Hizi co akili ya warioba, mara nyingi mtoto hurithi matendo au akili.
Sawa mbona nyumba nyingine ambazo nazo ziko kwenye hifadhi hiyo bado hazijabomolewa? Au hukulisikia hilo?
Zaidi ya hapo mbona huyo mama anamfuata fuata huyo baba kila anakopangisha nyumba ili aondolewe? Sababu ni nini? Sio chuki hiyo? Nalo hukulisikia?
Watu kama hawa wako kila upande. Huwezi sema kwa vile yule mama ni CHADEMA na wewe ni CHADEMA mwenzake, basi RC Hapi hajui sheria.
Hata wale wahujumu wa uchumi nao ni wauaji. Wewe itakuwaje upewe hela za miradi na serikali ukazitumia pesa hizo kwa mambo mengine? Inawezekana kweli?
Mimi nasikitika sana tena sana jinsi gani RC Hapi anavyo waacha tu hao wahujumu wa uchumi na maendeleo ya binadam bila kuwachukulia hatua kali za kisheria. Awafukuze hao wote hapo hapo na kuwafungulia mashtaka. Mali zao zote zifilisiwe na hata zile za ndugu zao na marafiki zao ambao itasadikika kuwa utajiri wao umetokana na hizo hela ambazo ndugu na rafiki yao ameziibia umma. Kwani nafikiri hapo ndipo tutakapo jifunza kuonyana sisi wenyewe kwa wenyewe na kuheshimu mali za umma. Hivi ndivyo tutavyo komesha huu mtindo wa ufujaji ovyo na uporaji ovyo wa hela za umma.
Kuna watu wengi sana wako mitaani bila kazi, kwanini tuendelee kuwadekeza watumishi na watendaji kazi hao wa serikali ambao wanaathiri maendeleo na maisha ya wengi? Haiingii akilini kwanini tuwaonee huruma watu wasiotuonea huruma sisi kwa ututendaji wao wa mambo ya ovyo kwetu.
Ki msingi hao sio watu wa kuwabembeleza tena. Hiyo mijitu sio binadam kama sisi. Ni wanyama hao. Matendo yao yanaonyesha dhahiri kuwa ni matendo ya kinyama. Binadam mwenye akili timamu hawezi kila pesa za miradi ya maendeleo ya umma, akazitia mfukoni na kuzitumia katika mambo yake mengine ya kibinafsi bila hata haya wala uoga na huruma kwa jamii. Ni nini hii?
Watanzania tuko tayari kupoteza maisha ya wezi wa smart phone ya thamani ya milion moja, lakini tuko tayari pia upande mwingine, kuwashangilia na kuwashabikia wezi wa mabilion ya pesa za umma za walipa kodi masikini. Tukiwaita matajiri. Matajiri wa hela ya umma? Basi sisi ni mazezeta. Hata haya hatuhoji?
Nasikita kuwa hili hujalizingumzia kwenye mchango wako wa hoja? Kwa hali hii inanifanya mimi nianze pia kukutilia mashaka wewe. Wewe ni "fanatic" wa itikadi ya vyama na sio vingine. Hoja yako uliyo changia ni "popan gas"
Kama Hapi sio mtoto wa Warioba kama unavyodai, je, wewe ni mtoto wa baba yako? Una uthibitisho wa DNA? Una uhakika pia ndugu zako wote watoto wa baba yako? Mama yako alivyo kuwa akienda sokoni ulikuwepo au baba yako mda wote alikuwa na mama yako kuchunga mali zake?
Usim-characterize binadamu mwenzako kwa matusi ya baba yake wala wazazi wake. Huo ni utovu wa nidham. Hiyo inaonyesha pia hata wewe huna heshima na binadam wenzako na akili huna vile vile. Sheria pia huzijui vinginevyo usingetoa pumba ulizotoa. Hukuwa na malezi bora ya kuthamini binadam wenzako. Kwa Mausi hayo ulitakiwa ukamatwe na kufunguliwa mashtaka.
Namalizia na kusema kwamba "Wewe ni shetan mkubwa".