kumpumu3
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 275
- 290
Msigwa akafufue mashamba ya nyanya ilula 2020 tunamgalagaza asubuhi kabisaHapi kapelekwa iringa kwa kazi maalum,sio kwa bahati mbaya.
Msigwa akafufue mashamba ya nyanya ilula 2020 tunamgalagaza asubuhi kabisaHapi kapelekwa iringa kwa kazi maalum,sio kwa bahati mbaya.
Una uhakika kama ni kodi zako zimetumika kwani yeye hapi hana pesa yake?!!!?Nimeona anatumia wasanii kwenye ziara yake,kodi zetu ndio zinatumika kuwalipa au???
Right kwenye uhalifu!?Women's right.hivi,RC hapi halijui hili??
Duuu tumia tafsida basi matako ndo nini??Mmbn school mate wako anafikiria kwa kutumia makalio na haumshauri chochote?
Ni watanzaniaWale walio mwanza ambao hawakubomolewa ni chama gani?
Ili uonekane unapiga kazi kamata Opposition weka ndani tishia raia mimi ni mtu hatari sana. Sasa hapa nashindwa kumwelewa yeye ni mtu hatari sana cjui ni jambazi au amewahi kuwa kichaa. CjamwelewaTatizo hii bongo haiitaji hayo yote ni kupiga kazi tu
Duuuhh, sasa wewe ndo umekazia zaidi. Naona mwenzako alitumia lugha laini, sasa wewe mmhhh.Duuu tumia tafsida basi matako ndo nini??
Ni hatari kwa mafisadi na wanaoonea wananchi hovyo na hao wahuni chademaIli uonekane unapiga kazi kamata Opposition weka ndani tishia raia mimi ni mtu hatari sana. Sasa hapa nashindwa kumwelewa yeye ni mtu hatari sana cjui ni jambazi au amewahi kuwa kichaa. Cjamwelewa
Bora aseme bodi siyo alivyotamka[emoji16][emoji16][emoji16]Duuuhh, sasa wewe ndo umekazia zaidi. Naona mwenzako alitumia lugha laini, sasa wewe mmhhh.
Hapi atoe pesa wapi kama siyo za rushwa kwa kuwatishia raia.Una uhakika kama ni kodi zako zimetumika kwani yeye hapi hana pesa yake?!!!?
Ana mshahara mnono,posho nonoHapi atoe pesa wapi kama siyo za rushwa kwa kuwatishia raia.
Sasa alichotamka yeye ni lugha ambayo inatumika na ni ya busara kabisa. Wewe ndo naona hujui kutumia tafsida. Lakini kwa sababu nia yako ilikua ni kumhukumu, lakini Mungu ameamua kudhihirisha dhamira yako, basi tuliache hivyo. Kwa faida yako usipende kumnyooshea mwenzako kidole eti atumie tafsida, ona sasa ulichoandikaBora aseme bodi siyo alivyotamka[emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli nimekoma mkuu,kiherehere kimeniponzaSasa alichotamka yeye ni lugha ambayo inatumika na ni ya busara kabisa. Wewe ndo naona hujui kutumia tafsida. Lakini kwa sababu nia yako ilikua ni kumhukumu, lakini Mungu ameamua kudhihirisha dhamira yako, basi tuliache hivyo. Kwa faida yako usipende kumnyooshea mwenzako kidole eti atumie tafsida, ona sasa ulichoandika
Kiongozi huruhusiwi kutishia viongozi waliochini yako na hata raia unaowaongozaNiliiona hiyo video, kweli Hapi hajielewi ukizingatia bado ni kijana, kumfokea mama wa watu hata kama alikuwa na kosa, alimnyima nafasi ya kujieleza, alimkandamiza na kusikiliza upande mmoja tu. Mbaya zaidi ni kuamua kumuweka ndani. Alikosea sana, hana sifa za kiongozi wa watu
Ya sheria au?Nchi inaangamia hivyo
Mshahara mnono UPI?? Tutakaa kusifia kuwa wanapesa wakati ni pesa zetu badala ya kuzielekeza kwenye maendeleo yanapelekwa kwenye matumizi ya viongozi. Ndio maana serikali matumizi yanachukua mabilion kuliko yanayopelekwa kwenye maendeleoAna mshahara mnono,posho nono
Kwani wewe ni CAG!???, Ofisi za TAKUKURU huzijui!??Mshahara mnono UPI?? Tutakaa kusifia kuwa wanapesa wakati ni pesa zetu badala ya kuzielekeza kwenye maendeleo yanapelekwa kwenye matumizi ya viongozi. Ndio maana serikali matumizi yanachukua mabilion kuliko yanayopelekwa kwenye maendeleo
maji ng a kama nyie mnailetea nchi mikosiHapi yupo makini muacheni afanye kazi yake....