Mkuu wa Mkoa wa Iringa hajui Sheria

Mkuu wa Mkoa wa Iringa hajui Sheria

Nimesikiliza nakuona video ya Mkutano wa Hapi na wanaIringa. Magufuli anaipeleka nchi pabaya. Hawezi kuwapa vitoto ukuu wa mkoa au wilaya, watoto ambao hawajielewi wala hawajui sheria inasemaje. Hapi kamweka Diwani wa chadema ndani eti kwasababu ya kuvunja nyumba ya mwanaccm. Nimuulize Hapi je huyu mwanaccm nyumba yake iliyovunjwa ilijengwa ndani ya hifadhi????. Huyo aliyevunjiwa wala siyo nyumba kwani ilikuwa bado inajengwa. Mwenyewe akasema ilikuwa hata aijawekwa paa. Manispaa wanao uwezo wa kubomoa nyumba yoyote hata likiwa imeisha kama atakuwa ajafuata sheria. Halafu huyu Diwani hana mgambo, mgambo ni wa manispaa kwahiyo nyumba ilivunjwa na MANISPAA YA IRINGA SIYO DIWANI WA CHADEMA. Halafu kwanini alikuwa hataki kumpa nafasi diwani nae aeleze jinsi ilivyokuwa. Yaani yote haya kwasababu manispaa inaongozwa na Opposition. Magufuli anaiangamiza nchi. Hivi huyu Hapi ni mtoto wa Warioba, kama ni wake basi hapa Warioba aliteleza au alipakaziwa. Hizi co akili ya warioba, mara nyingi mtoto hurithi matendo au akili.....
very sad. kichaa kupewa rungu ndani ya jumba la vioo. muda utasema.
 
Umemsikiliza lakini hujamuelewa,umeamua kuwa shabiki,kasikileze tena kwa umakini wote ,kuanzia maswali ya RC Hapi,viongozi wa idara mbalimbali waliotoa maelezo yao pale kwenye panel.
Sema jamaa alikua mkali sana
Hizo ni kiki tu za vijana wa magu!
 
Hapi kapelekwa iringa kwa kazi maalum,sio kwa bahati mbaya.
 
Na kweli unajua sisi wabantu tu waoga sana ila hawa ndugu zetu Narcotic sio wa kuchezea kabisa kama wanaweza kujinyonga na ukichunguza wanaojinyonga wengi ni hawa Narcotic kama wahehe, masai, wambulu, wanyakyusa sio wa mchezo mchezo. Subirini ngoja siku ajichanganye akutane na kisirani mwisho arudishwe kama Kleruu kwenye mfuko wa rambo
Duh kuja jamaa yangu humu JF aliomba dunia isimame ashuke tu
hakuna jamii za watu waitwao Narcotic (madawa) bali Nilotic waliotokana uhusiano na masafa ya bonde la mto Nile (Wamaasai nk) wahehe wanyakyusa wambulu hawapo
 
Attachments

  • 1538328367163.png
    1538328367163.png
    6.2 KB · Views: 28
  • Thanks
Reactions: Cyb
Nimesikiliza nakuona video ya Mkutano wa Hapi na wanaIringa. Magufuli anaipeleka nchi pabaya. Hawezi kuwapa vitoto ukuu wa mkoa au wilaya, watoto ambao hawajielewi wala hawajui sheria inasemaje. Hapi kamweka Diwani wa chadema ndani eti kwasababu ya kuvunja nyumba ya mwanaccm. Nimuulize Hapi je huyu mwanaccm nyumba yake iliyovunjwa ilijengwa ndani ya hifadhi????. Huyo aliyevunjiwa wala siyo nyumba kwani ilikuwa bado inajengwa. Mwenyewe akasema ilikuwa hata aijawekwa paa. Manispaa wanao uwezo wa kubomoa nyumba yoyote hata likiwa imeisha kama atakuwa ajafuata sheria. Halafu huyu Diwani hana mgambo, mgambo ni wa manispaa kwahiyo nyumba ilivunjwa na MANISPAA YA IRINGA SIYO DIWANI WA CHADEMA. Halafu kwanini alikuwa hataki kumpa nafasi diwani nae aeleze jinsi ilivyokuwa. Yaani yote haya kwasababu manispaa inaongozwa na Opposition. Magufuli anaiangamiza nchi. Hivi huyu Hapi ni mtoto wa Warioba, kama ni wake basi hapa Warioba aliteleza au alipakaziwa. Hizi co akili ya warioba, mara nyingi mtoto hurithi matendo au akili.....
Hajui sheria wakati ni graduate wa sheria tena Udsm
 
Hahah et alipakaziwa.kua makin tafadhali
 
Nimeiangalia ile video..niliyogundua ni kwamba. Yule mama hakupewa mda wa kujieleza.. halafu kuna yule kaka ni kama anachuki naye.. yaani alimpondea mpaka basi.
Lakini yule mama alijieleza vizuri kuwa yeye hajavunja nyumba na yule mwenye nyumba alishapewa kiwanja kingine ili ahame kwa utaratibu.
Mwisho yule mama alisema yuko tayari kuwajibika.
NAAMINI IGEKUWA NCHI ZA WENZETU HUYU MAMA KAMA AKIWA HANA MAKOSA KIUKWELI ANATAKIWA KUMSHITAKI MKUU WA MKOA
HAPI ALISEMA YEYE NI MTU HATARI SANA NA USIMCHEZEE
Women's right.hivi,RC hapi halijui hili??
 
Duh kuja jamaa yangu humu JF aliomba dunia isimame ashuke tu
hakuna jamii za watu waitwao Narcotic (madawa) bali Nilotic waliotokana uhusiano na masafa ya bonde la mto Nile (Wamaasai nk) wahehe wanyakyusa wambulu hawapo
Baada ya makonda sasa tumepata mjinga mwingine ndie huyu. Yan kichwani sifuri kabsa.
 
Wale walio mwanza ambao hawakubomolewa ni chama gani?
 
Kwahiyo mh wangu wa mkoa hapi ni mtoto wa warioba nauliza tu sitaki povu hapa
 
Kazi ambayo haina job description haihitaji uzoefu. Hata baada ya kuwa mkuu wa mkoa miaka 10 hawezi kuwa na uzoefu maana uzoefu ni excellence kitu ambacho mkuu wa mkoa life span yake miaka 5 au 10 ya awamu hii hawezi kuwa na excellence!!
 
Umemsikiliza lakini hujamuelewa,umeamua kuwa shabiki,kasikileze tena kwa umakini wote ,kuanzia maswali ya RC Hapi,viongozi wa idara mbalimbali waliotoa maelezo yao pale kwenye panel.
Sema jamaa alikua mkali sana
Siwezi kurudia kusikiliza ujinga na uonevu na manyanyaso kwa vile ww au mimi siyo mwanaccm. Mie siwezi kuwa mwanaccm hata iweje. Ila wakitenda mazuri nitawasifu na wanapoua raia kwasababu tu siyo ccm nitakemea. Sisi sote ni wamiliki wa Tanzania siyo Magufuli na wanaccm. Ila nawapa angalizo kama msivyo na akili mnashangilia hata visivyoshangiliwa. Kipindi Magufuli atakapokuwa anasomewa mashtaka ya mauaji nyie ndio mtakuwa wa kwanza kupiga kelele mfungeni huyo alikuwa katili sana. Ndio hao wanaccm wasiona mbali wao wanaona HAPAA!!
 
Hajui sheria wakati ni graduate wa sheria tena Udsm
Kuna kurushwa tu. Kukariri mitihani badala ya kuelewa unakuwa na cheti ya kufaulu. TOFAUTISHA KUWA NA CHETI NA KUELEWA SOMO/MASOMO. Unasoma ili uelewe na kuelewa kwako ndio mafanikio yako ktk utendaji. Kama huyu Hapi anayocheti lkn hakuelewa aliyokuwa anafundishwa. Siku ya mtihani akakariri
 
Na kweli unajua sisi wabantu tu waoga sana ila hawa ndugu zetu Narcotic sio wa kuchezea kabisa kama wanaweza kujinyonga na ukichunguza wanaojinyonga wengi ni hawa Narcotic kama wahehe, masai, wambulu, wanyakyusa sio wa mchezo mchezo. Subirini ngoja siku ajichanganye akutane na kisirani mwisho arudishwe kama Kleruu kwenye mfuko wa rambo
"Narcotic" tena! Yani hilo nalo ni kabila kama Bantus, Eskimos, Caucasians au Nilotics?
Wahehe ni sehemu ya Bantus. Hao 'Narcotic' wako labda ni walevi wa ganja.
 
Back
Top Bottom