Mkuu wa Mkoa wa Iringa hajui Sheria

Mkuu wa Mkoa wa Iringa hajui Sheria

Na kweli unajua sisi wabantu tu waoga sana ila hawa ndugu zetu Narcotic sio wa kuchezea kabisa kama wanaweza kujinyonga na ukichunguza wanaojinyonga wengi ni hawa Narcotic kama wahehe, masai, wambulu, wanyakyusa sio wa mchezo mchezo. Subirini ngoja siku ajichanganye akutane na kisirani mwisho arudishwe kama Kleruu kwenye mfuko wa rambo
Narcotic au Nilotic
 
Umemsikiliza lakini hujamuelewa,umeamua kuwa shabiki,kasikileze tena kwa umakini wote ,kuanzia maswali ya RC Hapi,viongozi wa idara mbalimbali waliotoa maelezo yao pale kwenye panel.
Sema jamaa alikua mkali sana
Ilikuwa ni kangaroo court? Hawa akina Hapi hakuna kitu, wakajifunze kwa akina Mtaka na yule mwenzake wa Geita. Huu ujinga wanaoufanya akina Hapi utaligharimu sana hili taifa nyie endeleeni kuwapoteza!
 
Anakosa uvumilivu wa kitawala,sijui kwanini anaogopa kivuli chake.
Mkuu wa mkoa ni mtawala mkuu wa mkoa,haya mambo ya kujipima ubavu na diwani tena mwanamke mbele ya media imeishusha hadhi kwa kiwango kikubwa.
 
Huko iringa ni wageni wa kubambikiwa kesi lakini kule Tarime wao wamezoea RPC na OCD kutuma Polisi kwenda kuwapiga wananchi wachimbaji wadogo wadogo masikini kisha kuwabambikia kesi ili wakose uwezo wa kuwalalamika popote.
 
Upo ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu kwenye utawala huu, yafaa iundwe tume itembee magerezani kote waongee na wafungwa wote ili wabaini idadi ya wafungwa waliobambikiwa kesi na Polisi na kuigharimu Serikali kuwalisha kuwahudumia huko magerezani, kuna pesa nyingi inayotumika kuwahudumia wafungwa wa kubambikiwa kesi na Polisi ni pesa nyingi ni pesa ambazo zingeweza kujenga daraja toka mwanza mpaka ukerewe pia kujenga viwanda Nchi nzima
 
Ilikuwa ni kangaroo court? Hawa akina Hapi hakuna kitu, wakajifunze kwa akina Mtaka na yule mwenzake wa Geita. Huu ujinga wanaoufanya akina Hapi utaligharimu sana hili taifa nyie endeleeni kuwapoteza!
Polisi wengi wapo after money hawana ubinadamu hawamuogopi mungu ndiyo maana kesi za kuwabambikia watu haziishi kutwa zinaongezeka na kuigharimu Serikali kuwalisha huko magerezani.
 
Umemsikiliza lakini hujamuelewa,umeamua kuwa shabiki,kasikileze tena kwa umakini wote ,kuanzia maswali ya RC Hapi,viongozi wa idara mbalimbali waliotoa maelezo yao pale kwenye panel.
Sema jamaa alikua mkali sana
diwani alifata sheria na taratibu.. ila hawa mazwazwa wa fisiem wameikalia tu politike... yule mzee muathirika yeye ailijieleza kuwa hana nyumba anaishi kwa kudanga tu sasa kilichobomolewa ni jengo lililojengwa sehem isiyohusika.
lkn kuna mazwazwa hapo waliotoa vibali ajenge sehem isiyohusika wameachwa ila aliefata sheria na taratibu amechukuliwa hatua.. HII NDIO SEREKALE TUNAYOITEGEMEA NDO INAFANYA HAYA MAZINGAUMBWE.
 
Kuna kale kagazeti ka Msiba kanaitwa jamvi la habari hukakuti kanakemea Uonevu wa Polisi, DC na RC kwa wananchi, kigazeti kimekalia kutengeneza Majungu dhidi ya chadema kwa saa 24
 
Maswali yaliyopaswa kuulizwa ni :
1. Je hiyo sehemu alipokuwa anajenga huyu Mheshimiwa imetengwa kwa ajili ya makazi?
2. Kama sehemu haikutengwa kwa ajili ya makazi, alipataje kibali cha ujenzi?
3. Na je hicho kibali alichokuwa nacho ni kwa eneo ambalo alikuwa anajenga?
4. Je alipata kibali cha kuendelea kujenga baada ya msingi wa nyumba kukaguliwa?
5. Je Halmashauri husika iliwahi kumtaka anayejenga hiyo nyumba kusita kujenga kwa maandishi? na kwa kuweka alama kwenye nyumba kumtaka asiendelee na ujenzi?
6.Je kuna maelekezo yeyote ya maandishi ya kuwaagiza wale mgambo kwenda kubomoa ile nyumba?

Kwa kumtia ndani huyu mama kwa kosa la kubomoa nyumba iliyokuwa inajengwa kwenye eneo lilizouiwa kujengwa kuna maana kuwa zuio hilo limeondolewa na watu waote ruksa kuendelea jenga katika eneo hilo. Hivi Mkuu wa Mkoa ana mamlaka ya kuondoa zuio hilo?

Kama nilisikia vizuri, mlalamikaji alikuwa anamtumhumu huyu mama kwa kumzuia kulala kwenye eneo ambalo anafanyia biashara. Ninavyojua mimi, hairuhusiwi kubadilisha eneo la biashara kuwa la makazi au makazi/biashara bila kupeleka maombi kwenye mamlaka husika. Kutumia sehemu ya biashara kunaweza kusababisha majanga kama moto ( kutokana na vibatali, sigara, au jiko la kupikia chakula) n.k.

Mwisho ni je hili shauri lisingeweza kushughulikiwa bila kumtia ndani yule mama? Yule mama angevuruga vipi hili shauri kwa kuwa nje?

Mimi nahisi mlalamikaji ndie aliyekuwa anawaambia watendaji kuwa hawawezi kumfanya kitu kutokana na nafasi yake ya kisiasa. Mheshimiwa alitakiwa atumie busara katika kutatua hili shauri ili kuepuka kuonekana amefanya maamuzi ya kisiasa kwenye masuala ya kiutawala. Kwa kufanya hivyo hajakitendea haki chama chake.

Amandla.............
 
Huyu Hapi si nimesikia ana shahada ya Sheria??

Lakini kwa jinsi ninavyomuangalia naamini kabisa alidoji lectures nyingi sana.

He is Dumb.
Shahada na akìli yake zipo kabatini pale lùmumba zimefungiwa, hapo anatembela ringi tu
 
Maoni yangu hapa ni hivi.. Happi amejtahid Sana kudadavua na maswali ya msingi umeuliza, but umeshindwa kufinalize.. ningekuwa mimi ningewatafuta hao migambo waliovunja hiyo nyumba na ningepata ukweli walitumwa na nani, lakini sio kutoa maamuzi hapo hapo.. furthermore bado hajahukumiwa na mahakama haijathibitisha km yeye ni mkosaji therefore umekosea sana kumpa majina mabaya mwishoni. Ni hivyo boss
 
wadau tuwekeeni cv ya kijana mwenzetu hapi naona anaelekea kupotea. hii ni shida uongozi ni busara...
Pia wekeni cv ya sugu na mbowe,Tumuunge mkono rais wetu jamani tumtie nguvu anatupeleka kuzuri hawa akina mbowe na saccos yao ya kichagga(chadema) wanakula ruzuku tu
 
Back
Top Bottom