Mkuu wa Mkoa wa Iringa hajui Sheria

Mkuu wa Mkoa wa Iringa hajui Sheria

Acha kashfa.kipimo cha utoto umekipimaje?Ulichokifanya ni personal attack
Nimesikiliza nakuona video ya Mkutano wa Hapi na wanaringa. Magufuli anaipeleka nchi pabaya. Hawezi kuwapa vitoto ukuu wa mkoa au wilaya, watoto ambao hawajielewi wala hawajui sheria inasemaje. Hapi kamweka Diwani wa CHADEMA ndani eti kwasababu ya kuvunja nyumba ya mwanaccm.

Nimuulize Hapi je huyu mwanaccm nyumba yake iliyovunjwa ilijengwa ndani ya hifadhi. Huyo aliyevunjiwa wala siyo nyumba kwani ilikuwa bado inajengwa. Mwenyewe akasema ilikuwa hata aijawekwa paa.

Manispaa wanao uwezo wa kubomoa nyumba yoyote hata likiwa imeisha kama atakuwa ajafuata sheria. Halafu huyu Diwani hana mgambo, mgambo ni wa manispaa kwahiyo nyumba ilivunjwa na MANISPAA YA IRINGA SIYO DIWANI WA CHADEMA.

Halafu kwanini alikuwa hataki kumpa nafasi diwani nae aeleze jinsi ilivyokuwa. Yaani yote haya kwasababu manispaa inaongozwa na Opposition. Magufuli anaiangamiza nchi.

Hivi huyu Hapi ni mtoto wa Warioba, kama ni wake basi hapa Warioba aliteleza au alipakaziwa. Hizi co akili ya warioba, mara nyingi mtoto hurithi matendo au akili.
 
Unaweza ukasoma usielimike. Na ukaelimika pasipo kusoma! Wasomi wetu hawajaelimka mkuu. Rejea msukuma bungeni. Wana vyeti akili hamna.
Mimi naongelea kusoma na kuijua sheria si sawa na kuelimika. Hapi kasoma na anaijua sheria vizuri sana tu. Angekua haijui asinge graduate udsm. Sasa suala la kuitumia sheria katika uongozi au la ni suala la kuamua tu, halihusiani na kuijua au kutokuijua sheria. Ni na mwizi anajua akiiba akikamatwa ni jela lakini anaiba tu. Sasa utasema mwizi hajui kuna sheria inayomkataza asiibe?
 
Ww unaejiita mbobezi wa sheria au mjuzi wa kuandika. Ulivyojibu umeona ni sawa mbona nawe nimeweka matusi. Mbona nawe ukuzungumzia hays maneno "MIMI NI MTU HATARI SANA, NITAKUWEKA NDANI. kuna aja gani ya kumtishia raia au mfanyakazi mwenzio eti kwa vile ww ni mkuu wa mkoa kwa vile unao polisi. Mahakama zitafanya is gani kama huyo Hapi anatoa hukumu. Ok alimweka diwani ndani kupata faida gani Je huyo mwanaccm HAKUJENGA KWENYE HIFADHI????
Naomba nionyeshe kipengee ambacho nimekutukana. Kukuambia wewe ni shetan hilo nalo ni tusi? Kama ni tusi mbona kwenye biblia na koran linatumika?
Kwa uelewa wangu neno shetani hutumika tu pale tendo la la kinyama linapo tendeka, kama huyo mama ambaye unamtetea amelifanya dhidi ya binadam mwenzie. Sioni kitu cha kufurahia mtu mmoja kuchukua uamuzi mikononi mwake kubomoa nyumba ya binadam mwingine bila hata sababu. Hata huruma ya watoto na maisha yao hakuwa nayo!

Sielewi mambo gani yanazunguka kichwani kwako kiasi kwamba neno la RC Hapi la kumwambia huyo mama kuwa yeye ni mtu hatari sana, kulipa priority kubwa kuliko tendo la kinyama ambalo huyo mama amelifanya dhidi ya binadam mwenzake.

Nimekuita wewe shetani kwa sababu, kwa mtazamo wangu umediriki kuweka maswala ya itikadi ya vyama mbele kuliko ubaya ambao huyo mama amemtendea binadam mwenzake, isitoshe pia watoto wa huyo baba ambao, wewe kama mzazi unajua fika kuwa ni kitu muhimu kwa watoto kuwa na sehemu bora ili waweze kutengeneza future yao. Lakini kwa vile wewe ni shallow minded hukutaka kulitambua hilo kwa kusudi tu badala yake tofauti za kisiasa kuzipa kipaombele.

Kwa hali hiyo utasema mimi nimekuonea nikikiuita wewe shetani? Kwani uamuzi wako wa kumtetea huyo mama kuna tofauti gani na huyo anayetenda?
 
Nimesikiliza nakuona video ya Mkutano wa Hapi na wanaringa. Magufuli anaipeleka nchi pabaya. Hawezi kuwapa vitoto ukuu wa mkoa au wilaya, watoto ambao hawajielewi wala hawajui sheria inasemaje. Hapi kamweka Diwani wa CHADEMA ndani eti kwasababu ya kuvunja nyumba ya mwanaccm.

Nimuulize Hapi je huyu mwanaccm nyumba yake iliyovunjwa ilijengwa ndani ya hifadhi. Huyo aliyevunjiwa wala siyo nyumba kwani ilikuwa bado inajengwa. Mwenyewe akasema ilikuwa hata aijawekwa paa.

Manispaa wanao uwezo wa kubomoa nyumba yoyote hata likiwa imeisha kama atakuwa ajafuata sheria. Halafu huyu Diwani hana mgambo, mgambo ni wa manispaa kwahiyo nyumba ilivunjwa na MANISPAA YA IRINGA SIYO DIWANI WA CHADEMA.

Halafu kwanini alikuwa hataki kumpa nafasi diwani nae aeleze jinsi ilivyokuwa. Yaani yote haya kwasababu manispaa inaongozwa na Opposition. Magufuli anaiangamiza nchi.

Hivi huyu Hapi ni mtoto wa Warioba, kama ni wake basi hapa Warioba aliteleza au alipakaziwa. Hizi co akili ya warioba, mara nyingi mtoto hurithi matendo au akili.
Siyo lazima urithi ya baba!
 
Na kweli unajua sisi wabantu tu waoga sana ila hawa ndugu zetu Narcotic sio wa kuchezea kabisa kama wanaweza kujinyonga na ukichunguza wanaojinyonga wengi ni hawa Narcotic kama wahehe, masai, wambulu, wanyakyusa sio wa mchezo mchezo. Subirini ngoja siku ajichanganye akutane na kisirani mwisho arudishwe kama Kleruu kwenye mfuko wa rambo
Hayo makabila uliyoyataja sio wabantu?
 
Mkuu mtoto wa Warioba anaitwa Kippi,huyo ni Ally Salum Happy.Hana undugu na Warioba.
 
Nimeiangalia ile video..niliyogundua ni kwamba. Yule mama hakupewa mda wa kujieleza.. halafu kuna yule kaka ni kama anachuki naye.. yaani alimpondea mpaka basi.
Lakini yule mama alijieleza vizuri kuwa yeye hajavunja nyumba na yule mwenye nyumba alishapewa kiwanja kingine ili ahame kwa utaratibu.
Mwisho yule mama alisema yuko tayari kuwajibika.
NAAMINI IGEKUWA NCHI ZA WENZETU HUYU MAMA KAMA AKIWA HANA MAKOSA KIUKWELI ANATAKIWA KUMSHITAKI MKUU WA MKOA
HAPI ALISEMA YEYE NI MTU HATARI SANA NA USIMCHEZEE
Kweli Happy ni mtu hatari sana ukilinganisha elimu yake ya kuungaunga na nafasi aliyonayo!
 
Kuna kurushwa tu. Kukariri mitihani badala ya kuelewa unakuwa na cheti ya kufaulu. TOFAUTISHA KUWA NA CHETI NA KUELEWA SOMO/MASOMO. Unasoma ili uelewe na kuelewa kwako ndio mafanikio yako ktk utendaji. Kama huyu Hapi anayocheti lkn hakuelewa aliyokuwa anafundishwa. Siku ya mtihani akakariri
We jamaa kama ulikuwa naye darasani!Umemjuaje huyu jamaa?Huyu ni mjanjamjanja na mwepesi wa kujiongeza ndio maana kafika mbali lakini hakuwahi kuwa kichwa masomoni kama kaka yake wa Dar.
 
Write your reply..".Mimi ni Mtu hatari...usiniudhi ...usinichezee"...hivo Roma bado yupo Zimbabwe??????.
 
Hivi mgambo wanaweza kutoka na kutekeleza jambo bila idhini ya mtu aliye na mamlaka na mgambo hao? Je ni mwenyekiti wa mtaa? Kama mgambo sio wa mwenyekiti wa mtaa ni wa nani? Kama ni wa manispaa nani aliwapa amri mgambo? Mbona mtu wa manispaa hayupo hapa? Mimi nafikiri kama zoezi ni batili basi kosa la mwenyekiti wa mtaa lingekuwa ni kutoa taarifa za uongo manispaa na si vinginevyo, hapa alikuwa anatafutwa mwenyekiti wa mtaa kama zilivyokuwa zinatafutwa 18 za RMO wa Iringa.
 
Na kweli unajua sisi wabantu tu waoga sana ila hawa ndugu zetu Narcotic sio wa kuchezea kabisa kama wanaweza kujinyonga na ukichunguza wanaojinyonga wengi ni hawa Narcotic kama wahehe, masai, wambulu, wanyakyusa sio wa mchezo mchezo. Subirini ngoja siku ajichanganye akutane na kisirani mwisho arudishwe kama Kleruu kwenye mfuko wa rambo
Hivi ni Narcotic au Nilotic?
 
Nimesikiliza nakuona video ya Mkutano wa Hapi na wanaringa. Magufuli anaipeleka nchi pabaya. Hawezi kuwapa vitoto ukuu wa mkoa au wilaya, watoto ambao hawajielewi wala hawajui sheria inasemaje. Hapi kamweka Diwani wa CHADEMA ndani eti kwasababu ya kuvunja nyumba ya mwanaccm.

Nimuulize Hapi je huyu mwanaccm nyumba yake iliyovunjwa ilijengwa ndani ya hifadhi. Huyo aliyevunjiwa wala siyo nyumba kwani ilikuwa bado inajengwa. Mwenyewe akasema ilikuwa hata aijawekwa paa.

Manispaa wanao uwezo wa kubomoa nyumba yoyote hata likiwa imeisha kama atakuwa ajafuata sheria. Halafu huyu Diwani hana mgambo, mgambo ni wa manispaa kwahiyo nyumba ilivunjwa na MANISPAA YA IRINGA SIYO DIWANI WA CHADEMA.

Halafu kwanini alikuwa hataki kumpa nafasi diwani nae aeleze jinsi ilivyokuwa. Yaani yote haya kwasababu manispaa inaongozwa na Opposition. Magufuli anaiangamiza nchi.

Hivi huyu Hapi ni mtoto wa Warioba, kama ni wake basi hapa Warioba aliteleza au alipakaziwa. Hizi co akili ya warioba, mara nyingi mtoto hurithi matendo au akili.
"Warioba" kivipi?
 
We jamaa kama ulikuwa naye darasani!Umemjuaje huyu jamaa?Huyu ni mjanjamjanja na mwepesi wa kujiongeza ndio maana kafika mbali lakini hakuwahi kuwa kichwa masomoni kama kaka yake wa Dar.
Kuwa mkuu wa mkoa ni bahati ambayo akuitegemea alichotakiwa kujua kuwa anaongoza binadamu wenye akili kuliko yy. Kikubwa ni kuwaeshimu na kujua kuwa bila wao asingekuwa hapo na kuitwa mkuu wa mkoa. Kingine awaze na kufikiria kesho, asiwe ba mawazo aliyonayo ss kuwa Magufuli atatawala MILELE na yy atakuwa mkuu wa mkoa MILELE na hata kuwa waziri. Ajue kuwa anayoyafanya leo kesho kutwa watanzania watamweka chini na kumuuliza kwanini ulitunyanyasa TIME WILL TELL!! Hakuna aliejua mcheza comedy maarufu nchini Marekani atafungwa leo baada ya miaka 60 kupita
 
Back
Top Bottom