Mkuu wa mkoa wa Geita Apata ajali

MBONA GARI LILIFUATA HAO VIUMBE WASIO NA MAKOSA KWANI WALIKUA HAWAWAONI??

POLE SANA MKUU WA MKOA KWA AJALI HIYO,,ILA NIMUULIZE SWALI JEPESI TUH,,
VIPI ALIIINGIA NA TAHARUKI NA KUWAVAA HAO VIUMBE KWANI ALIDHANI HAO NI TEMBO??

ILI AJICHUKULIE PEMBE AMPE KINANA ASAFIRISHE KWENYE ILE MIMELI YAKE??

:playball: :playball:
 
kama ajali ilitokea usiku, mwenye ngombe anamakosa, ila kama ni mchana mwenye gari ndio mwenye makosa

Mmh, hivi sheria ya barabarani inasemaje? Ng'ombe si ndiyo aliingia barabarani? Hapo nafikiri mwenye ng'ombe ndiyo anabanwa na si aliyegonga ngómbe.
 
Back
Top Bottom