Mkuu wa mkoa wa Geita Apata ajali

Mkuu wa mkoa wa Geita Apata ajali

Mmh, hivi sheria ya barabarani inasemaje? Ng'ombe si ndiyo aliingia barabarani? Hapo nafikiri mwenye ng'ombe ndiyo anabanwa na si aliyegonga ngómbe.
Kwa hiyo kwa akili uliyozaliwa nayo mkuu unaamini ng'ombe kwa kuwa yuko barabarani na sheria inakulinda umgonge!? Kwa kweli kua uyaone! Mara ngapi tunakutana na wanyama wanavuka barabara tena Dar mjini,tunapunguza mwendo na kuacha wapite...sembuse Geita. Ila wewe na Mr RC sheria inawalinda!
Poleni Ng'ombe na wenye mifugo.
 
Mnyama ana thamani kuliko Binadamu?!

Mkuu gari la serikali na litalipwa bima.. Kama kada kaumia atapelekwa Apollo kupata huduma.. Niambie huyo mwenye ng'ombe anapataje fidia ya kugongewa mifugo yake..?
 
Kuna watu wamecomment akili zao ni kama konokono
 
Kuna watu wamecomment akili zao ni kama konokono

Afadhali mwenye akili za konokono hagongi kiumbe,na hata akigonga haui!!hebu waonee huruma maskini ngombe waliogongwa na kuuliwa/kuumizwa vibaya na RC!!!hapo mi naona afadhali konokono kuliko rc! Over.
 
Hakuna aliejeruhiwa vibaya ilo ni jambo la kushukuru maana kodi ze2 ndo zinge2mika ktk matibabu huko ughaibuni
 
Mkuu gari la serikali na litalipwa bima.. Kama kada kaumia atapelekwa Apollo kupata huduma.. Niambie huyo mwenye ng'ombe anapataje fidia ya kugongewa mifugo yake..?

Mkuu wangu Sosoliso kwanza habari ya huyo aliyeko nyuma yako?,nadhani hapa sheria itangaliwa kisha itafuata mkondo wake!!!
 
Afadhali mwenye akili za konokono hagongi kiumbe,na hata akigonga haui!!hebu waonee huruma maskini ngombe waliogongwa na kuuliwa/kuumizwa vibaya na RC!!!hapo mi naona afadhali konokono kuliko rc! Over.

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!,haya mambo ni makubwa yananizidi hata umri.
 
Back
Top Bottom