Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 770
- 1,960
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe.
---
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya kuzitumia, hivyo Tanesco waangalie miongoni mwao nani anafanya hivyo.
Chalamila ameyasema hayo leo Februari 19, 2024 alipoanza ziara ya kimkoa eneo la Charambe wilayani Temeke ambapo kuna kituo cha kusambazia umeme kwa maeneo yote ya Mbagala.