Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,691
- 55,980
And mkuu wa magereza anakuwa mfungwa , haya maisha bwanaMkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.
Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.
Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!
Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.
My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.