Mkuu wa Magereza Ukonga apandishwa kizimbani

Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyer wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Good news!

Kwa hili nawapa pongezi TAKUKURU (PCCB) kwa uthubutu wao.
 
Kwanini hao wachina hawajaunganishwa kwenye hiyo kesi?

Mtoa rushwa na mpokea rushwa,wote wametenda kosa.

Kwanza Mchina tayari ana mvua za kutosha, mpaka wakatoa milion 45, ina maana ana li life sentence la kutosha . Sasa utamfunga mara ngapi ?

Lakini tayari Mchina ametoa ushirikiano. Bila wachina kuongea afande asingekamatwa.

Hata hizo FBI na sijui Scotland Yard wanategemea sana ma criminal kujisanua wenyewe akikamatwa mmoja.

Na wameshaliwa 45 milion. Inatosha. Kuwashtaki tena ni waste of judicial resources.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyer wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Usifanye deal na mchina blinded. Usile rushwa
 
Nawaambia Watu kila siku, pesa ya mchina sio ya kula, mnakumbuka story ya Yule Waziri wa Ujenzi (nadhani) WA Uganda, alikula rushwa ya mchina halafu akajifanya kwenda kuwakoromea? Aagh Wapi, ukila pesa ya mchina hakikisha hio deal imenyooka. Vinginevyo atakutia Aibu tu
Ningekupa stori ila muda sina. Ililiwa pesa ndefu, katika kitu najuta ni sikuepo kwenye mchongo
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyer wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
du!! sungura kamkaba tembo!!!
 
Sawa Sheria ifuate mkondo lkn Kwa kipindi hiki mahakama zetu zinanukia kabisa kuua uzalendo wa kuaminika na jamii ktk utoaji haki Yani wanasikiliza maelekezo zaidi kuliko kujisimamia Kwa misingi ya Sheria na miongozo kwa mujibu wa katiba
 
Naaah, reserve your compliments. There is no genuine fight there. Mwamba kanyima wenzie mgao tu. Ingetokea akagawana vizuri na wenzake leo hii kina Jet li wangekuwa kwao na mkuu wa gereza angekuwa anakula kuku kwa mrija kama kawaida.
Kwa hiyo unataka kusema walimnyima Katibu Mkuu mgao na ndiyo maana kawatosa!?
 
Back
Top Bottom