Mkuu wa Magereza Ukonga apandishwa kizimbani

Tindikali

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
2,128
Reaction score
2,914
MKAMA UKONGO.PNG

Mkuu wa Magereza Ukonga, Josephat Mkama pamoja na Afisa Tehama, Sibuti Nyabuya, wapandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma document na uhujumu uchumi, na kuongoza genge la uhalifu

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa Rais. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyer wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi walipofuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption in high places.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Machadema na nyumbu wenzao watakwambia mama analeta rushwa.

In fact awamu ya mama amewadaka wengi sana na wamepanda vizimbani tena wenye vyeo,sikumbuki wengine waliwasweka wazi lini.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Nawaambia Watu kila siku, pesa ya mchina sio ya kula, mnakumbuka story ya Yule Waziri wa Ujenzi (nadhani) WA Uganda, alikula rushwa ya mchina halafu akajifanya kwenda kuwakoromea? Aagh Wapi, ukila pesa ya mchina hakikisha hio deal imenyooka. Vinginevyo atakutia Aibu tu
 
duuh huyu afande alikuwa anategemea hao wachina angewatoaje?
Usilolijuwa ni usiku wa giza, mfungwa ambaye siyo kifungo cha maisha au murder anatolewa vizuri kwenda kifungo cha nje au msamaha.

Tena hizo mambo zinafanywa na watu wadogo sana, Bongo mpaka leo watu wengi hawajui kazi na majukumu ya idara ya ustawi wa jamii.
 
My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Naaah, reserve your compliments. There is no genuine fight there. Mwamba kanyima wenzie mgao tu. Ingetokea akagawana vizuri na wenzake leo hii kina Jet li wangekuwa kwao na mkuu wa gereza angekuwa anakula kuku kwa mrija kama kawaida.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Vidagaa
 
Back
Top Bottom