Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
kutoka kwa maza house au mchepuko??
Siri ya ndani
Jamani mumuache mzee wa watu apumue..sie kwetu faimilia na watoto ni utajiri..
kama nyie wingi wa Vogues na ukubwa na wingi wa viduara kwenye bank statements haya....
ya kwenu hukohuko....
Aaaarghhh jiliwaze baba na ukooo..maisha ndi hayoo...khaaa!!!
Siri ya ndani
nani marehemu?chizenga; marehemu tena lol
hivyo siyo mwanaye huyo mtoto??nilishuhudia Mh Rais akimwita wapige picha, huyu ana hulka ya kuwa mtu wa watu but sometimes.............
mtoto kafanana na marehemu EUSEBIO mchezaji nguli wa zamani wa Ureno