Mkuu wa Kaya na mwanae mashallah wamependeza

Mkuu acha uongo huyo mtoto anaitwa fahmy babake anaitwa salah anaishi china.. babake ndiye mmiliki wa silent ocean road haulage ni tawi la Home Shopping Center.. said mmiliki wa home shopping ni babake mkubwa na huyo dogo
 
mmiliki ni Said wewe Sallah ni mdogo mtu. inawezekana ni mwanae lakin sio kwa mke wake wa ndoa. coz huyo dogo katoka kusoma juz kati India ndio amekabidhiwa mikoba ya ofisi china ndio akaja kuoa. b4 alikuwepo Abdallah huko.
 
Ndio huyu alikuwa anapiga maphoto na Mzee Wa kaya kwenye mechi kati ya real Madrid vetenary na tsn
 
Mkuu acha uongo huyo mtoto anaitwa fahmy babake anaitwa salah anaishi china.. babake ndiye mmiliki wa silent ocean road haulage ni tawi la Home Shopping Center.. said mmiliki wa home shopping ni babake mkubwa na huyo dogo
Kwani huyo mtoto hawezi Kumwita mkuu wa kaya Baba mkubwa kwa heshima?
 
Hana had hi hiyo Baba Wa taifa sifa kuu awe na uwezo Wa kuwa tayari kutoa MAAMUZI MAGUMU KWA FAIDA YANCHI Mkuu Wa kaya hana uwezo huo
 
Acha uongo mkuu

eusebio.jpg
 
Back
Top Bottom