Mkuu wa Kaya na mwanae mashallah wamependeza

Mkuu wa Kaya na mwanae mashallah wamependeza

Wakongwe wa R.M

Mkuu wakongwe wanaitwa VETERAN Na si VETENARY. Vetenary Ni fani nyingine ya tiba za mifugo. Wengi huwa wanachanganya maneno haya mawili Ki maandishi Na Ki matamshi!
 
Kwani kuna tatizo kumsifia mtoto mzuri kama huyo?


Hakuna shida,,ila kama sifa sifieni...sio
kutiani maneno meem=ngi ka washehereshaji wa shughuli ya mwali...
siku njema...nice blue monday!!
 
Back
Top Bottom