Mkuu anapojigamba kuonyesha nchi alizo tembelea

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534


Hapa nimefika na hapa na hapa,hapaaaaaaaa

GO9G0812.JPG
 
Hivi haya mapete kwenye kila mkono 'yanamsaidia' kweli!? Yaani na elimu na exposure yote aliyonayo..bado na mipete tu...aaaaggr! Yaani hii ndio image ya mtanzania anayo potray huko anako 'hanja hanja' kila uchao.

Ndo maana member wengine wameanza kuweka signature za "Proudly Kenyan"!

 
JK anakaimu nafasi nne kwenye nchi hii angalia below:
  1. Raisi wa nchi.
  2. Waziri wa mambo ya nje.
  3. Waziri katika kamati ya mazishi.
  4. Waziri wa starehe na mambo yasiyokua ya lazima. Nijuavyo mimi sijui na wewe unajua wizara gani!
 
: Mkuu anapojigamba kuonyesha nchi alizo tembelea
JK anakaimu nafasi nne kwenye nchi hii angalia below:
  1. Raisi wa nchi.
  2. Waziri wa mambo ya nje.
  3. Waziri katika kamati ya mazishi.
  4. Waziri wa starehe na mambo yasiyokua ya lazima. Nijuavyo mimi sijui na wewe unajua wizara gani!

  • mkuu hapo red ungeweka iwe namba moja
 
teheteheteheee,yupo pia kwenye wizara ya kupeleka mbuzia,mafuta mchele na sabuni kwenye v2o vya yatima! c angefanya utaratibu wa kuwapeleka shule wanazosoma watoto zake hata watoto wa2 kwa mwaka? as mee na mchele watoto c mala moja tu wanapeleka chooni!?
 
Hivi anajua anavyozitumia vibaya fedha za walalhoi walipa kodi wa Tanzania? Mbona hazihurumii kabisa fedha zetu za maendeleo ya jamii? Nimegundua katika mshahara wangu wa Tsh. 1,000,000/= TRA wanachukua 28% zinabaki Tsh.720,000 halafu tena wananikata VAT 18% nabaki na Tsh. 589,400/= Hivi kweli ni haki? halafu fedha zangu zinatumika kiholela kwa kujirusha kama vile hazina mwenyewe. Eee Mungu tuepushe na zahma hii!!
 
halafu ninampango wa kumaliza majiji yote duniani, au unasemaje clinton?
Clinton: yeah u r awesome!!!
 
Otea! hivi Balozi wa Marekani na hao wengine wanamfikiriaje? watakuwa wanawaza nini vichwani mwao?
 
kama ningekuwa mmoja wao hapo ningemuuliza JK swali lifuatalo; Je Mheshimiwa unapokuwa umetembelea nchi za wenzio huwa unaishia Hotelini tu au unatembelea maeneo ya viwanda, miundombinu na uwekezaji? Na kama unatembelea mbona nchi yako iko nyuma kiuchumi kiasi hicho?
 
Alikuwa akiwaomba wamsaidie kuingizwa kwenye records za kidunia kwakuwa amevunja record ya kusafiri! Na balozi wa usa alikuwa haamini kuwa hiki ndo kifaa kiitwacho jk chenye kuchana anga kila uchao!! Teehe! tehheeee!
 
Hapa nimefika na hapa na hapa,hapaaaaaaaaView attachment 32673
Changamoto kubwa inayotukabili TZ ktk uongozi wa juu ni kuwapa watu madaraka ili kukamilisaha ndoto zao na pia for convience...mfano Rais wa ZNZ hakutaka kuwa President wa lakini ili kuua genuine concern za watu ZNZ basi akaombwa akubali...think of it kwa mtu kama huyo itakuwaje ktk utendaji wake..hakuwa na vision in the first place. JK wanted to be a president and he was open about it..yeah and there he is enjoying them presidential benefits.The good/bad thing about sisi watz ni kusahau haraka... JK alikuwa na midahalo ya nini anataka kuifanyia nchi hii? unasema ule wa Anatogulo? Mbali ya manifesto ya chama yeye as JK hakuwahi kuonyesha what are the issue na anakusudia kufanya nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom