Mkuu anapojigamba kuonyesha nchi alizo tembelea

1st phase alichaguliwa na watz ambao walidhihaika wakidhani angekuwa a better president. wakagundua ni kaa la macho. wakamkataa kwenye second phase. lakini wakakosea kuwa mfumo uliopo hauruhusu kushindwa kwa sitting president. hivyo kwa mamlaka yake ya kidola amerudi. kwa sasa sio chaguo la watz na yeye anajua kuwa hawatumikii watz manake hawakumtaka. waliomweka pale anawahudumia vizuri na wala hawasikitiki kwake kuwa raisi wao
 
Ndiyo maana FISADI mwenzake Lowasa aliaonekana Bora . Maana wakati yeye akikata mitaa ya kimataifa jamaa Lowasa alikuwa anajijenga kwa sanaa za kukromea wakuu wa mikoa na wilaya hadharani.
 
: Mkuu anapojigamba kuonyesha nchi alizo tembelea
JK anakaimu nafasi nne kwenye nchi hii angalia below:
  1. Raisi wa nchi.
  2. Waziri wa mambo ya nje.
  3. Waziri katika kamati ya mazishi.
  4. Waziri wa starehe na mambo yasiyokua ya lazima. Nijuavyo mimi sijui na wewe unajua wizara gani!

  • mkuu hapo red ungeweka iwe namba moja

ina maana huyu jamaa kila kona yumo isipokuwa kitchen party? si ajabu kuna siku mrembo wake kamwambia waende kwenye kitchen party akaenda kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom