Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika(AU) unaendelea mjini Addis Ababa. Rais wa Tanzania amejifungia nyumbani

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
4,997
2,000
Wanabodi nawasalimu

Tanzania ilikuwa baba wa demokrasia,utu wema,kisiwa cha amani na utulivu mpaka ikawa kimbilio la walioteseka na majanga mbalimbali nchini kwao lakini leo sina hakika kama bado tunayo sifa hiyo.
Hapo pichani ni Mhe.uhuru kenyatta rais wa kenya akijadiliana na mhe.raila amollo odinga(Mpinzani wake mkuu)ambaye ni afisa maalum wa umoja wa afrika aliyepata nafasi hiyo baada ya kupendekezwa na kenyatta mwenyewe.
Wenzetu wamepiga hatua ndefu mbele huku sisi tukipiga sarakasi kwa mbio za relay kurudi nyuma miaka ya 1970.
Sifa moja tuliyo nayo ni kupigana risasi na kuwekana ndani kwa kesi bandia.

Nimeangaza angaza kama nitamuona mtukufu wetu mhe.John Magufuli kikaoni lakini nimeambulia patupu sijui anaumwa miaka mitatu mfululizo au ni ile aleji ya kutosafiri ndiyo inaendelea hata kwenda kuungana na wakuu wa nchi wenzake duniani inakuwa shida?

Jamani hata wawekezaji kama kina dangote hawakuja wenyewe au kushawishiwa na mabalozi,makamu wa rais au waziri mkuu,wanahitaji kuonana au kuhakikishiwa mazingira bora na mkuu wa nchi na hasa kwenye mataifa yetu yasiyotabirika kwenye nyanja ya haki za binadamu,utawala wa sheria,demokrasia na uhuru wa kiuchumu.

Kikwete alifanya kazi ya ziada kuwaleta na kuwahakikishia mazingira bora na rafiki kikodi,kiusalama na kimalighafi na ndiyo maana baada ya kuondoka ikulu sidhani kama kuna uwekezaji mkubwa kutoka nje kwa wafanyabiashara umekuja nchini zaidi ya kuhangaika na hawa kina Mo wanaopitia mkono wa chuma na kuhamisha mitaji nje ya nchi kunusuru mitaji na usalama wao.

Serikali ya viwanda imeota mbawa na haisikiki tena abadan,labda uwe na roho ngumu kama ya mwendawazimu kuunadi uchumi wa viwanda na tanzania mpya ya Magufuli.
Huwezi kutengeneza kitu kinachohitaji kanuni kwa kuigiza au kuwakusanya viongozi wa dini ikulu na airport kuwaaminisha wananchi kuwa uchumi uko imara tena viwanda vimejengwa zaidi ya 3500 toka mwaka 2016-2019.
Watakuja kwenye nyumba za ibada kuhubiri porojo na maagizo ya ikulu lakini watapuuzwa kwa sababu watu wanataka wapate neno la Mungu huko na siasa kwa wanasiasa.

Watu wanaona,wanajua na wanaelewa na wakinyamaza si kwamba wamekukubalia,wanakaa kimya kuepusha shari.
Najua kuna watu watabeza safari za lazima za rais kama hizi za A.U,U.N nk.
Shida siyo wao kubeza bali ni kwa kiasi gani wanauelewa mpana kuhusu safari hizi na ushawishi wa rais kiuchumi,kibiashara na kidiplomasia.
Sidhani kama dunia ilikuwa inamfahamu mtu anayeitwa mhe.rais John Pombe Magufuli kabla ya mhe.sana Tundu Lissu kupigwa risasi na kumtambulisha duniani.

Jamani nawasilisha mimi nilikuwa nawaza kuhusu mikutano ya kimataifa na umuhimu wa mkuu wa nchi kuwepo kwa maslahi mapana ya taifa na afya yake kiuchumi na kidiplomasia.
Kama mtasema siyo muhimu basi aendelee kujifungia halafu tutajua huko mbeleni kama baba wa familia anawezaje kujifungia na kapu la fedha chumbani akitumia bila kuingiza kama zitadumu.
Ukitaka Kula sana lazima ukubali kuliwa kidogo lakini kama unahisi wenzako hawastahili kula vyako basi watakutenga na utaishi mpweke kama shetani na ukipata janga utalia mwenyewe.

Ni mimi mzalendo wa kweli wa taifa Deus Mkombozi Kira.NB: Picture upload failed
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
5,702

Huyu mr wahapa hapa unadhani huko ataongea nini? Mbaya zaidi wanaruhusu waandishi wa habari wamuulize maswali tena kwa lugha ya kiingereza?wewe tena ishia hapo hapo
 
Kitwa-Mulomoni

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
1,128
2,000
Najaribu kuweka picha inagoma View attachment 1019263
Mpaka sasa AU haina maana ni maonyesho ya mitindo ya mavazi na umwinyi! Muulize Mr Julius Malema wa EFF South Africa atakueleza vizuri. Sioni kama inafaa raisi wetu ambaye yuko bise kulinyoosha taifa lililo kuwa linakwenda kombo anapaswa kupoteza muda kwenda kwenye hicho chombo. Afadhali awatume wengine. Nchi ikinyooka wawekezaji wa maana watakuja, siyo wale wanaotaka kutuibia - tumeibiwa saaaaana! Inatosha.
 
Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,414
2,000
Hiyo AU inakutana kinafki bora hajaenda kusave cost. Kila pahala ni majanga ajikalie zake magogoni kutafakari ya lissu.
 
Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,035
2,000
Wanabodi nawasalimu...MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA(A.U) UNAENDELEA MJINI ADDIS ABABA. RAIS WA TANZANIA AMEJIFUNGIA CHUMBANI
Thubutu, mbona ni heri aendelee tu kujifungia chumbani. Akikanyaga Addis Ababa tu, mbona all hell will break loose! Kila mtu atataka kushuhudia kwa macho alivyo na si kumuona kwenye picha tu.
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
4,594
2,000
Kunguru ni kunguru tu
Kama kunguru ni kunguru kwanini tulichagua kunguru?
Kumbe haya tuliyataka wenyewe aisee. Nakumbuka kuna thread flani ilishawahi kuanzishagwa hapa kabla ya 2015 ikimuelezea jiwe ni mtu wa visasi na hafai kwa nafasi kubwa kama hii aliyonayo sasa. Ilikuwa na michango mingi sana, kila niitafuta nifanye comparison naikosa. Sijui ilishafutwaga ama vipi. But kwa ninayoyakumbuka hakika yaliyonenwa ni kweli kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
4,997
2,000
Mpaka sasa AU haina maana ni maonyesho ya mitindo ya mavazi na umwinyi! Muulize Mr Julius Malema wa EFF South Africa atakueleza vizuri. Sioni kama inafaa raisi wetu ambaye yuko bise kulinyoosha taifa lililo kuwa linakwenda kombo anapaswa kupoteza muda kwenda kwenye hicho chombo. Afadhali awatume wengine. Nchi ikinyooka wawekezaji wa maana watakuja, siyo wale wanaotaka kutuibia - tumeibiwa saaaaana! Inatosha.
Alotuibia ni nani na yuko wapi?!?! Yaani unavoongea utadhani tumepata Uhuru mwaka 2015?!?!

Ccm nyooote ni majizi tu ndo maana mpaka sasa 2.5 Trions hazijulilani zilipo mmmmmmmmamae zenu sisiem
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
5,702
2,000
Mpaka sasa AU haina maana ni maonyesho ya mitindo ya mavazi na umwinyi! Muulize Mr Julius Malema wa EFF South Africa atakueleza vizuri. Sioni kama inafaa raisi wetu ambaye yuko bise kulinyoosha taifa lililo kuwa linakwenda kombo anapaswa kupoteza muda kwenda kwenye hicho chombo. Afadhali awatume wengine. Nchi ikinyooka wawekezaji wa maana watakuja, siyo wale wanaotaka kutuibia - tumeibiwa saaaaana! Inatosha.
Hivi ile 1.5 t iliibiwa na mwekezaji yupi vile?
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
20,191
2,000
Sikujua kama Tanzania hatujawakilishwa huko? ?

Ila nakumbuka kuona mahali PM akiwa huko ??

Kwani PM hatoshi ??
 
selase

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
223
250
Wanabodi nawasalimu

Tanzania ilikuwa baba wa demokrasia,utu wema,kisiwa cha amani na utulivu mpaka ikawa kimbilio la walioteseka na majanga mbalimbali nchini kwao lakini leo sina hakika kama bado tunayo sifa hiyo.
Hapo pichani ni Mhe.uhuru kenyatta rais wa kenya akijadiliana na mhe.raila amollo odinga(Mpinzani wake mkuu)ambaye ni afisa maalum wa umoja wa afrika aliyepata nafasi hiyo baada ya kupendekezwa na kenyatta mwenyewe.
Wenzetu wamepiga hatua ndefu mbele huku sisi tukipiga sarakasi kwa mbio za relay kurudi nyuma miaka ya 1970.
Sifa moja tuliyo nayo ni kupigana risasi na kuwekana ndani kwa kesi bandia.

Nimeangaza angaza kama nitamuona mtukufu wetu mhe.John Magufuli kikaoni lakini nimeambulia patupu sijui anaumwa miaka mitatu mfululizo au ni ile aleji ya kutosafiri ndiyo inaendelea hata kwenda kuungana na wakuu wa nchi wenzake duniani inakuwa shida?

Jamani hata wawekezaji kama kina dangote hawakuja wenyewe au kushawishiwa na mabalozi,makamu wa rais au waziri mkuu,wanahitaji kuonana au kuhakikishiwa mazingira bora na mkuu wa nchi na hasa kwenye mataifa yetu yasiyotabirika kwenye nyanja ya haki za binadamu,utawala wa sheria,demokrasia na uhuru wa kiuchumu.

Kikwete alifanya kazi ya ziada kuwaleta na kuwahakikishia mazingira bora na rafiki kikodi,kiusalama na kimalighafi na ndiyo maana baada ya kuondoka ikulu sidhani kama kuna uwekezaji mkubwa kutoka nje kwa wafanyabiashara umekuja nchini zaidi ya kuhangaika na hawa kina Mo wanaopitia mkono wa chuma na kuhamisha mitaji nje ya nchi kunusuru mitaji na usalama wao.

Serikali ya viwanda imeota mbawa na haisikiki tena abadan,labda uwe na roho ngumu kama ya mwendawazimu kuunadi uchumi wa viwanda na tanzania mpya ya Magufuli.
Huwezi kutengeneza kitu kinachohitaji kanuni kwa kuigiza au kuwakusanya viongozi wa dini ikulu na airport kuwaaminisha wananchi kuwa uchumi uko imara tena viwanda vimejengwa zaidi ya 3500 toka mwaka 2016-2019.
Watakuja kwenye nyumba za ibada kuhubiri porojo na maagizo ya ikulu lakini watapuuzwa kwa sababu watu wanataka wapate neno la Mungu huko na siasa kwa wanasiasa.

Watu wanaona,wanajua na wanaelewa na wakinyamaza si kwamba wamekukubalia,wanakaa kimya kuepusha shari.
Najua kuna watu watabeza safari za lazima za rais kama hizi za A.U,U.N nk.
Shida siyo wao kubeza bali ni kwa kiasi gani wanauelewa mpana kuhusu safari hizi na ushawishi wa rais kiuchumi,kibiashara na kidiplomasia.
Sidhani kama dunia ilikuwa inamfahamu mtu anayeitwa mhe.rais John Pombe Magufuli kabla ya mhe.sana Tundu Lissu kupigwa risasi na kumtambulisha duniani.

Jamani nawasilisha mimi nilikuwa nawaza kuhusu mikutano ya kimataifa na umuhimu wa mkuu wa nchi kuwepo kwa maslahi mapana ya taifa na afya yake kiuchumi na kidiplomasia.
Kama mtasema siyo muhimu basi aendelee kujifungia halafu tutajua huko mbeleni kama baba wa familia anawezaje kujifungia na kapu la fedha chumbani akitumia bila kuingiza kama zitadumu.
Ukitaka Kula sana lazima ukubali kuliwa kidogo lakini kama unahisi wenzako hawastahili kula vyako basi watakutenga na utaishi mpweke kama shetani na ukipata janga utalia mwenyewe.

Ni mimi mzalendo wa kweli wa taifa Deus Mkombozi Kira.NB: Picture upload failed
madai yake eti yeye ni mtu wa kazi asiependa kusafiri.
 
Top Bottom