Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika(AU) unaendelea mjini Addis Ababa. Rais wa Tanzania amejifungia nyumbani

Kuna shughuli baba unabidi uende mwenyewe unlesss kama baba ni mlemavu na hujiwezi ndo utawakilishwa kila leo.sometimes acheni kutetea ujinga.kwani akina uhuru walioenda hawana wa kuwatuma au wao hawako busy kujenga vyama vyao?

Kwa kutokwenda na kutuma mwakilishi kuna sheria imevunjwa?
Afu kwani kila anachofanya Kenyatta ndio sahihi na kinapaswa kuigwa?
Ni mkuu wetu tu ndio hajaenda katuma mwakilishi au kuna wengine wamewakilishwa?
Kama kuna wengine waliowakilishwa kwanini iwe nongwa kwa mkuu wetu?
 
Mkuu sijasema kuna sheria imevunjwa ila nimesema kuna shughuli inabidi baba uende either kuna sheria au hakuna ila kuna issue baba unatakiwa utoke

.
 
Wee utaonekana hauna akili kama kutuma mwakilishi ni sahihi kwa nini huwa hawatumii wawakilishi kwenda uwanja wa ndege? Hata kwenda kuzindua kiwanda cha sukari pia?? Mbona hawatumii wawakilishi kwenda kuzindua uzio? Mbona hawatumii wawakilishi kwenda kwenda kupokea ma mwendokasi?? Vitu vingine utumie akili. Yaani anaweza kwenda kwenye mambo ya kipuuzi lakini anashindwa kwenda kwenye vikao muhimu huu ni ujinga kama ujinga mingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona povu limekutoka si mchezo! Kwani unaumia wapi Rais asipotoka nje ya nchi?
 
Mkuu sijasema kuna sheria imevunjwa ila nimesema kuna shughuli inabidi baba uende either kuna sheria au hakuna ila kuna issue baba unatakiwa utoke

.
Hakuna ulazima wowote wa Rais kwenda kwenye hivyo vikao! Misri mwaka huu ndiyo kwanza wameshiriki tangia miaka 20+ ipite lakini hatujawazidi chochote kile
 
Magufuli alichaguliwa na watanzania kwa ajili ya watanzania...#MATAGA

Alichaguliwa na CCm kwa ajili ya wana ccm wote. Huoni wa vyama vya upinzani wanakamatwa ovyo na polisi na kubambikiziwa kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu. kwenye ziara zake zote utaona anapokelewa na kuzunguukwa na watu waliovaa nguo za kijani.
 
Hakuna ulazima wowote wa Rais kwenda kwenye hivyo vikao! Misri mwaka huu ndiyo kwanza wameshiriki tangia miaka 20+ ipite lakini hatujawazidi chochote kile
Wewe ni shabiki masndazi tu hùjui lolote
 
Back
Top Bottom