maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,202
- 1,595
Za asubuhi wanaJF,
Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7. Kikao kitafunguliwa na Mhe. Rais Samia.
Wananchi ni wadau wakubwa wa utendaji wa polisi hivyo nashauri tuweke tathmini yetu kuhusiana na utendaji wao kutoka kama service users.
Hii itasaidia kuboresha shughuli zao huku wakihakikisha matarajio yetu yanafikiwa.
Nawasilisha