Mkutano wa Godbless Lema - Kahama, Shinyanga 28 April, 2015

Dah!! Mkutano umefurika sana. Chombo changu kinagoma kurusha picha. WanaJF tuliopo hapa naomba asaidie kuweka picha ya huu umati. Kamanda Lema gari lake lilipata pancha maeneo ya Misungwi ndio maana mpaka sasa hajafika. Hata hivyo taarifa ni kuwa yuko around.
 

..huko kanda ya ziwa mnatakiwa muwaelimishe jinsi DHAHABU yao ilivyotafunwa na CCM.

..waelezeni thamani ya dhahabu iliyokwisha chimbwa halafu kiasi ambacho serikali/CCM imepata, na kiasi ambacho wao wananchi wamepewa.

..baada ya hapo muwaeleze kwamba mchezo huo huo umefanyika kwenye tanzanite, na rasilimali nyingine nyingi ktk kila eneo la nchi hii.

..pia muwakumbushe kwamba DHAHABU ingeweza kuendeleza kanda ya ziwa pamoja na maeneo mengine yote yenye matatizo nchi hii.

..waelezeni wananchi kwamba CCM ingesimamia vizuri rasilimali zetu basi nchi ingeweza kujenga viwanda wananchi wapata ajira na kuongeza thamani ya pamba, zahanati, shule, na hospitali zingeweza kujengwa, etc etc.

..baada ya hapo muwaeleze kwamba CDM inataka wananchi wa Tanzania nzima wafaidike na rasilimali zinazopatikana hapa nchini. muwaeleze kwamba kuendelea kuichagua CCM ni sawa na kubariki dhuluma na ufujaji uliofanyika ktk miradi ya dhahabu, tanzanite, na mingine.

cc Chademakwanza
 
Last edited by a moderator:

Najiuliza kila siku hivi act ndio mdudu gani huyo?
 
usikonde kamanda cdm haitaacha kitongoji hata kimoja , tunataka kutokomeza kabisa rushwa ya wali maharage hapo dodoma, tunataka mtu asipewe kura kwa sababu ya aibu ya kudhalilishana kwa wali kitumbo na maharage ya njano .

Mje hata huku Mpanda
 

Mkibahatika angalau kupata diwani mshukuru mungu
 
R.B wewe ni mwanachama mtiifu wa CCM na hua unaripoti ziara za katibu mkuu wako,The Dentist

Wewe huyu umeonekana kuwa na mahaba sana na chama cha zito.

Tunaomba utujibu...kuna link gani kati ya CCM na chama cha zito? mbona wewe mwanaccm umekuwa ripota mkuu wa matukio ya chama cha act?

Pia kwa ajili ya kuweka kumbukumbu sawa.....Mnyika ameenda shinyanga hata kabla mshirika wenu zito hajaenda shinyanga.....Pia Mheshimiwa Mbowe ameenda mkoa wa Simiyu kata ya Itilima na sio mkoa wa shinyanga.

Sasa mkuu...tunahokuomba uelewe ni kwamba CDM imejengwa katika misingi imara sio katika mihemko kama mihemko ya balehe
 

Sasa hivi ccm wanatoka na nguo kwenye mkoba mkutano ukiisha wanaenda chooni kubadili
Ni aibu kuvaa nguo za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…