Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema baada ya kutikisa Arusha siku ya Ijumaa kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara wa kuongea na wananchi wake baada ya kutoka mahabusu. Leo siku ya Jumapili ataongea wananchi kupitia Mkutano wa hadhara utaofanyika katika Viwanja vya Tindigani Kimandolu.
=========================U
Nilipata tatizo kidogo Mkutano wa Mbunge wa Arusha Godless Jonathan Lema upo live kupitia page ya Facebook Chadema Kanda ya Kaskazini
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema ameshangaa sana viongozi wa dini kukaa kimya kushindwa kukemea uvunjaji wa katiba unaoendelea.
Viongozi dini mnawambudu Mungu gani mpaka mnavyogopa Magufuli? Lema
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amewatupia lawama viongozi wa dini kwa kuwa waoga hata pale wanapoona katiba na sheria za nchi zinakanyagwa wazi wazi.ameenda mbali na kusema kama viongozi hao hawatabadilika na kuendelea kuwa waoga na wanafiki atafungua kanisa lake na kuliita Godbless Jonathan Lema .Amesisitiza haiwezekani viongozi wa dini wanahubiri mbinguni kuna barabara ya dhahabu lakini wao wanakuwa waoga kwenda kuipita barabara hiyo.Asema viogozi wa dini wamekuwa waoga na uoga ni dhambi mbaya zaidi.