Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,902
- 95,191
Nimeipenda hii!wasivyo akili wataomba kuinunua isionekane.
Si unajua tena mwigulu yupo kitengo kwa kazi maalum?
Nimeipenda hii!wasivyo akili wataomba kuinunua isionekane.
kwa mwendo huu ccm wakipata hata kura laki 5 za urais octoba nitashangaa sana !
Shamrashamra zimeanza hapa mkutanoni. Ameanza kuweka sawa watu hapa kamanda Leonard Mayala, diwani wa kata ya Nyasubi.
Anasema serikali yetu ina mawaziri wengi sana wakati uwezo wa kujigharamia ni mdogo. Anatolea mfano wa mtu mwenye duka la laki 6 halafu aweke wauzaji saba kwa wakati mmoja.
Analalamikia pia uwepo wa sikukuu nyingi za kitaifa. Ktk mwaka wenye siku 365,kuna jumla ya siku za wikiendi zaidi ya mia. Ukijumlisha na hizi za may mosi n.k zinafikia karibu mia mbili.
Picha tutawaletea muda si mrefu. Pia wageni rasmi nao wako karibu kufika.
ALIANZA MNYIKA , KAFUATA MBOWE ; KAENDA MH LEMA
KABAKI MH IBRAHIMU LIPUMBA;
SOMO HALIJAELEWEKA; WATU MKOA WAOTE NI ACT-WAZALENDO
huu muziki ndo unawatia wenge si tupo Dar; Tuankuja baada ya ya operation fyeka msitu , sasa ni operation andaa palizi
tutawapa kila kinachojiri
Lema uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana,Awashukuru wachagga wenzake wanambeba Arusha. ,la sivyo ubunge angeusikia redioni tu
usikonde kamanda cdm haitaacha kitongoji hata kimoja , tunataka kutokomeza kabisa rushwa ya wali maharage hapo dodoma, tunataka mtu asipewe kura kwa sababu ya aibu ya kudhalilishana kwa wali kitumbo na maharage ya njano .
Najiuliza kila siku hivi act ndio mdudu gani huyo?
ALIANZA MNYIKA , KAFUATA MBOWE ; KAENDA MH LEMA
KABAKI MH IBRAHIMU LIPUMBA;
SOMO HALIJAELEWEKA; WATU MKOA WAOTE NI ACT-WAZALENDO
huu muziki ndo unawatia wenge si tupo Dar; Tuankuja baada ya ya operation fyeka msitu , sasa ni operation andaa palizi
Mje hata huku Mpanda
mkibahatika angalau kupata diwani mshukuru mungu
mbunge
lema anafanya siasa kwa baraka za Mungu .Kamanda saidia kutupia picha za huu umati. Aise mkutano wa yule msaliti haufui dafu kwa huu wa Lema.
kumpata Mh Lema kwa wana kahama hiyo naihesabu kama bahati kubwa mno ! itumieni ipasavyo , huyu mtu ni kiboko ! huyu ameua na kuteketeza kabisa ccm Arusha , amesababisha kuvaa sare za ccm arusha kuwa ni mojawapo ya aibu za binadamu , ni sawa na kutembea bila nguo ! hakika wana kahama mmebahatika sana .
mbunge
ni kweli hata DAR ES SALAAM wameanza tabia hii .Sasa hivi ccm wanatoka na nguo kwenye mkoba mkutano ukiisha wanaenda chooni kubadili
Ni aibu kuvaa nguo za ccm
Lema uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana,Awashukuru wachagga wenzake wanambeba Arusha. ,la sivyo ubunge angeusikia redioni tu