Mkutano wa Godbless Lema - Kahama, Shinyanga 28 April, 2015

Chadema baada ya singo yao ya kujiteka kubuma,wameanza na singo ya kujisingizia ajali
 
walidhani tutahaibika mungu ni mwema; tunamaombi ya wabunge majimbo yote

1.wazalendo
2.wanaoomba nafasi ya ukimbizi ;baaada ya kutoswa na vyama vyao ccm, chadema, lakini tutawapokea kama wanakubali falsafa za mwalimu julius kambarage nyerere
3. Wapenzi wa damu wa zitto na wananchama wa act
4. Wapiganaji wa ufisadi na demokrasia ktk vyama

Act mmebaki kulindwa na jf tu
 
Mie ndo natoka kakora niko njiani pande za segese bilashaka ntakuwa nanyi muda si mrefu.

Kamanda wa Kakola, fuatilieni Halmashauri ya Masalala kama Maige analipia kodi/ushuru wa mabango yake yaliyopo huko barabarani. Kuanzia Lunguya hadi Segese amechafua barabara kwa mabango ya Kampeni ya tangu 2010
 
Lema uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana,Awashukuru wachagga wenzake wanambeba Arusha. ,la sivyo ubunge angeusikia redioni tu

Wewe unaijua Arusha kweli? Wenye uwezo walio serikalini ni wezi na mafisadi na walio nje ni wasaliti na ndumilakuwili.
 
Ndg wana JF na watanzania kwa ujumla, leo kutakuwa na mkutano mkubwa sana wa hadhara wa Chadema hapa kahama maeneo ya CDT. Mbunge wa Arusha mjini kamanda mpambanaji Godbless Lema atakuwepo kuwajaza ujasiri watu wa huku. Pia ataambatana na m/kt wa Bavicha taifa kamanda Patrobass K.Paschal.

Kama ilivyoada ya JF iliyojaa wawakilishi kila kona ,itakuwa nawe moja kwa moja toka eneo la mkutano.
Ungana nami Sir. E.J.Buyamba, m/kt wa vijana jimbo la Msalala mkoani Shinyanga nikiwa na makamanda wengine kibao ktk kuhakikisha hakiharibiki kitu.
Karibuni sana!!.
Msalala ni kahama?Naomba kujulishwa tu
 
Pichaaaaaaaaaa wapi kamanda!!
Hawa majambazi wa lumumba must go to hell
 
Msalala ni kahama?Naomba kujulishwa tu

Msalala ipi unamaanisha!? .kama ni ile ya jimbo la uchaguzi na mbunge wake Maige iko Kahama. Kwa sasa ni halmashauri inayojitegemea na inasubiri mambo fulani tu yakamilike iwe wilaya kamili kwa maana ya kuwa na DC wake.
Pia kuna mji unaitwa Msalala, huu wenyewe upo wilaya mpya ya jirani iitwayo Nyanghwale mkoani Geita. Sasa sijui unaongelea ipi!?
 
Godbless J Lema 19:10 Today
Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja
na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata
ajali,taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo
mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano
Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida
sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na
hivyo kushindwa kufika Kahama. Sisi ni wazima
ns sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
 
Godbless J Lema 19:10 Today
Nimeona kwenye mitandao kuwa mimi pamoja
na Mkiti wa Vijana Taifa kuwa tumepata
ajali,taarifa hizo sio za kweli isipokuwa leo
mchana wakati tunajaribu kuwahi mkutano
Kahama gari letu lilipata pancha ya kawaida
sana na ilituchukua muda mrefu kurekebisha na
hivyo kushindwa kufika Kahama. Sisi ni wazima
ns sasa niko Dar nimewasili jioni hii..
Acha utani basi mkuu, yaani apate pancha na kutengeneza kisha muda huu Dar!!
 
Ndg wana Jf, taarifa zilizotangazwa hapa na katibu wa wilaya ni kuwa kamanda Lema kapata ajali mbaya sana maeneo ya misungwi na hivyo kakwama kufika. Kwa taarifa zaidi tazama taarifa ya habari leo maana kwa sasa tayari wako Bugando.
Nyoko zao hao wanaomuandalia kamanda ajali, nyoka wa makengeza juzi katumia bastola leo katumia uchawi anataka kummaliza Lema! hata weza kamwe na uchawi wake wa kisukuma, lazima watu wa kanda ya ziwa waambiwe ukweli ccm imewanyonya sana, na kwa hakika kamanda angefika hapo mngezaliwa upya, mngejua kuwa mko mahali mlipotakiwa kutoka miaka 30 nyuma, lakini hakija haribika kitu, tunamuombea kamanda apone mkutano ufanyike. People' power, chadema vema, watatumia nguvu za giza sie aka tupo na Mungu.
 
Back
Top Bottom