Mkutano wa Godbless Lema - Kahama, Shinyanga 28 April, 2015

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
May 24, 2013
1,074
2,000
Ndg wana JF na watanzania kwa ujumla, leo kutakuwa na mkutano mkubwa sana wa hadhara wa Chadema hapa kahama maeneo ya CDT. Mbunge wa Arusha mjini kamanda mpambanaji Godbless Lema atakuwepo kuwajaza ujasiri watu wa huku. Pia ataambatana na m/kt wa Bavicha taifa kamanda Patrobass K.Paschal.

Kama ilivyoada ya JF iliyojaa wawakilishi kila kona ,itakuwa nawe moja kwa moja toka eneo la mkutano.
Ungana nami Sir. E.J.Buyamba, m/kt wa vijana jimbo la Msalala mkoani Shinyanga nikiwa na makamanda wengine kibao ktk kuhakikisha hakiharibiki kitu.
Karibuni sana!!.
 
Last edited by a moderator:

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,906
2,000
Kila heri kamanda wetu Lema lengo letu FUTA DELETE CCM NCHI NZIMA kwa pamoja tutafanikiwa CHADEMA MWENDO MDUNDO .
 
sungusungu

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,005
2,000
Ndg wana JF na watanzania kwa ujumla, leo kutakuwa na mkutano mkubwa sana wa hadhara wa Chadema hapa kahama maeneo ya CDT. Mbunge wa Arusha mjini kamanda mpambanaji Godbless Lema atakuwepo kuwajaza ujasiri watu wa huku. Pia ataambatana na m/kt wa Bavicha taifa kamanda Patrobass K.Paschal.

Kama ilivyoada ya JF iliyojaa wawakilishi kila kona ,itakuwa nawe moja kwa moja toka eneo la mkutano.
Ungana nami Sir. E.J.Buyamba, m/kt wa vijana jimbo la Msalala mkoani Shinyanga nikiwa na makamanda wengine kibao ktk kuhakikisha hakiharibiki kitu.
Karibuni sana!!.

Ha ha mkuu umenifurahisha sana,kwamba atawajza ujasiri ha ha
 
Last edited by a moderator:

Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
May 24, 2013
1,074
2,000
Dodoma lini tunawaitaji na huku mtujaze ujasiri

Kamanda pangeni tu ratiba na viongozi wenu hapo kisha muwataarifu makamanda waje. Dodoma mtakuwa na bahati kubwa saana maana muda mfupi Bunge litaanza hapo. Kwa hiyo makamanda mtakuwa nao tu kiasi kwamba hata kwa mguu mnawachomoa hapo mjengoni mnatinga nao field. Hakuna kulala mazee!!
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,550
2,000
Kiiila la kheri Mola aweke tu mkono wake juu ya Kamanda wetu, mpiganaji asiye choka. Tunaomba kapicha kina stroke waone meno huenda yakaota tena.
 
Emmanuel J. Buyamba

Verified Member
May 24, 2013
1,074
2,000
Shamrashamra zimeanza hapa mkutanoni. Ameanza kuweka sawa watu hapa kamanda Leonard Mayala, diwani wa kata ya Nyasubi.
Anasema serikali yetu ina mawaziri wengi sana wakati uwezo wa kujigharamia ni mdogo. Anatolea mfano wa mtu mwenye duka la laki 6 halafu aweke wauzaji saba kwa wakati mmoja.

Analalamikia pia uwepo wa sikukuu nyingi za kitaifa. Ktk mwaka wenye siku 365,kuna jumla ya siku za wikiendi zaidi ya mia. Ukijumlisha na hizi za may mosi n.k zinafikia karibu mia mbili.
Picha tutawaletea muda si mrefu. Pia wageni rasmi nao wako karibu kufika.
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,944
1,500

Huyu diwani nondo zake zimeenda shule.
 
M2mwembamba

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
2,444
2,000
Mie ndo natoka kakora niko njiani pande za segese bilashaka ntakuwa nanyi muda si mrefu.
 
duanzi

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
16,429
0
Lema uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana,Awashukuru wachagga wenzake wanambeba Arusha. ,la sivyo ubunge angeusikia redioni tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom