Mkutano wa Godbless Lema - Kahama, Shinyanga 28 April, 2015

kumpata Mh Lema kwa wana kahama hiyo naihesabu kama bahati kubwa mno ! itumieni ipasavyo , huyu mtu ni kiboko ! huyu ameua na kuteketeza kabisa ccm Arusha , amesababisha kuvaa sare za ccm arusha kuwa ni mojawapo ya aibu za binadamu , ni sawa na kutembea bila nguo ! hakika wana kahama mmebahatika sana .
 
CCM mlibebwa na CUF 2010 ila kwa kuwa hambebeki,mtakiona cha mtema kuni.Na ole wenu msimamishe mtu mwenye afya chafu,au mtu anayelialia kitoto au yule handsome wenu ndio mtaipata fresh!
Lema uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana,Awashukuru wachagga wenzake wanambeba Arusha. ,la sivyo ubunge angeusikia redioni tu
 
Lema uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana,Awashukuru wachagga wenzake wanambeba Arusha. ,la sivyo ubunge angeusikia redioni tu
Kwi kwi Lema kiboko ya MACCM yeye na wananchi wake wamemugalagala Kikwete na Jaji wake yule ambaye hajaamka pale leo Mlongo yupo Mwanza kupumua baada ya msongo mkubwa wa mawazo kwi kwi Lema ndio vijana wenye ujasiri waliokubali kufa wakati wowote ule
 
Dodoma lini tunawaitaji na huku mtujaze ujasiri

usikonde kamanda cdm haitaacha kitongoji hata kimoja , tunataka kutokomeza kabisa rushwa ya wali maharage hapo dodoma, tunataka mtu asipewe kura kwa sababu ya aibu ya kudhalilishana kwa wali kitumbo na maharage ya njano .
 
Ndg wana JF na watanzania kwa ujumla, leo kutakuwa na mkutano mkubwa sana wa hadhara wa Chadema hapa kahama maeneo ya CDT. Mbunge wa Arusha mjini kamanda mpambanaji Godbless Lema atakuwepo kuwajaza ujasiri watu wa huku. Pia ataambatana na m/kt wa Bavicha taifa kamanda Patrobass K.Paschal.

Kama ilivyoada ya JF iliyojaa wawakilishi kila kona ,itakuwa nawe moja kwa moja toka eneo la mkutano.
Ungana nami Sir. E.J.Buyamba, m/kt wa vijana jimbo la Msalala mkoani Shinyanga nikiwa na makamanda wengine kibao ktk kuhakikisha hakiharibiki kitu.
Karibuni sana!!.

Asante sana kamanda tunasubilia matukio yote ya kamanda lema na makamanda wote hapo kahama.
 
Last edited by a moderator:
ALIANZA MNYIKA , KAFUATA MBOWE ; KAENDA MH LEMA

KABAKI MH IBRAHIMU LIPUMBA;

SOMO HALIJAELEWEKA; WATU MKOA WAOTE NI ACT-WAZALENDO


huu muziki ndo unawatia wenge si tupo Dar; Tuankuja baada ya ya operation fyeka msitu , sasa ni operation andaa palizi
attachment.php
 
Back
Top Bottom