Mkutano wa Godbless Lema - Kahama, Shinyanga 28 April, 2015

mtahangaika sana lakini ukweli unabaki palepale kuwa ACT imewashika sehemu nyeti. mmebaki kulalama tu humu. kama huo ubunge huwa mnatoa nyinyi mko sahihi lakini kama kila mmoja anashiriki mtashangaa hiyo october. tukutane oktoba.

bwt mbona hamna hata kapicha? au kumedoda?

mbona humalizii unaona aibu ya nini? ACT ipi? Wazalendo au Tanzania? Haaaaahaaa, mnachekesha kweli ondokeni kwenye nyumba ya watu acheni kufanya ukarabati kwenye makazi ya watu wenyewe hawataki jamani.
 
Lema uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana,Awashukuru wachagga wenzake wanambeba Arusha. ,la sivyo ubunge angeusikia redioni tu

Wachaga wanambeba? unashangaza kweli aliekuambia Arusha ni ya wachaga ni nani? na Kilimanjaro wasemaje? Rizione kachaguliwa na wazaramo sio, acha kutumia Ole Medeye style kuhalalisha mambo.
 
mawazo yako wewe na bavicha;
uliza uambiwe watu wanapiga simu ; vijana graduate wapinga ufisadi
umebaki wewe na mbowe wenu kung'ang'ania madaraka kama nkurunzinza ahalfu unasema nkurunzinza kaa miaka 10; mbowe kakaaa miongo mingapi? Miaka 10 na ngapi?

Shame to young generetaion ; underating other young leader like zitto

Leo sijibu ila ningekujibu usingekaa ukaandika tena humu ninashaka ungebadili ID .
 
Wachaga wanambeba? unashangaza kweli aliekuambia Arusha ni ya wachaga ni nani? na Kilimanjaro wasemaje? Rizione kachaguliwa na wazaramo sio, acha kutumia Ole Medeye style kuhalalisha mambo.
Mpuuze tu huyo. Mwl akishasema mtu aliyefilisika kifikra hujificha ktk udini, ukanda na ukabila.
 
mbona humalizii unaona aibu ya nini? ACT ipi? Wazalendo au Tanzania? Haaaaahaaa, mnachekesha kweli ondokeni kwenye nyumba ya watu acheni kufanya ukarabati kwenye makazi ya watu wenyewe hawataki jamani.
vipi mbona sijaona japo kapicha kwenye huo mkutano wa godless lema? au ulidoda nini ndo maana mnaona aibu?
kweli nimeamini ile sumu ya zitto haikuwa nzuri kwa afya yenu.
 
Nachojua mkutano jana uliahirishwa kutokana na gari la lema tair kupasuka kabla ya kahama. kutokana na ajali watu walitawanyika katika mkutano
 
vipi mbona sijaona japo kapicha kwenye huo mkutano wa godless lema? au ulidoda nini ndo maana mnaona aibu?
kweli nimeamini ile sumu ya zitto haikuwa nzuri kwa afya yenu.

Zito ana sumu ya kumuangamiza nani? Muziki wa chadema anaujua ndio maana analilia kujiunga na ukawa, zitto kwisha habari yake sasa awe muhubiri tu wa aliyoyafanya hana jipya tena atangaze tu yeye bingwa wa kufichua ufisadi baaasi kwwa chadema zito ni historia alikuwaga.
 
alianza mnyika , kafuata mbowe ; kaenda mh lema

kabaki mh ibrahimu lipumba;

somo halijaeleweka; watu mkoa waote ni act-wazalendo

huu muziki ndo unawatia wenge si tupo dar; tuankuja baada ya ya operation fyeka msitu , sasa ni operation andaa palizi
attachment.php

we ndio mwehu kweli
 
Zito ana sumu ya kumuangamiza nani? Muziki wa chadema anaujua ndio maana analilia kujiunga na ukawa, zitto kwisha habari yake sasa awe muhubiri tu wa aliyoyafanya hana jipya tena atangaze tu yeye bingwa wa kufichua ufisadi baaasi kwwa chadema zito ni historia alikuwaga.

Hiyo Historia inasumbua Lakini. Imechukuwa waliokuwa wahudhuriaji wote wa mikutano CDM
 
Back
Top Bottom