Godbless Lema kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara Kahama tarehe 26/4/2015

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Wakuu,

Hii nchi imeiva!!

Wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akiwa katika ziara za kuwafundisha vijana ujasiri na ukakamavu akianzia mikoa ya Mwanza, Kagera na Bukoba, na Dr. Slaa akianza ziara zake mkoani Morogoro, Kamanda wa ardhini Godbless Lema akiambatana na Mwenyekiti wa bavicha taifa kesho wanatarajia kukinukisha mjini Kahama, yaani maccm na vibaraka wao wameshikwa kila kona hakuna kuchomoka.

Mh. Lema baada ya kesho kuhutubia Kahama, kesho kutwa atakuwa Chato kumfuata Makamasi mwenye masifa, kabla ya kuungana na Mwenyekiti mwenza wa ukawa Mh Mbatia katika ziara zitakazofanywa Kigoma..

Nchi imeivaaaaa!!
 
Mh.

Mh watu MNA majungu!! Makamasi ndo nani? Au ndo kupush siasa
 
Mkuu mkiona giza linazidi mjue ndio kunakaribia kupambazuka tunawaombea kila la kheri makamanda wote kushambulia kila kona ya nchi ili kuliondosha joka lenye makengeza hapa tanzania kiutawala...mungu ibariki chadema na watu wake wote.....
 
chadema hii sasa ni balaa mnataka ccm na vibaraka wao wapate presha
 
Zitto kasababisha watu hawakai ofisini, na bado!

We bwa.bwa hizi harakati za CHADEMA hazijaanza mwaka huu...acha kujitia uchizi.

Watu waliacha kukaa ofisini ni kutumikia mafaili tangu enzi za operesheni sangara mpaka leo hii.
Kauli mbiu ni "HAKUNA KULALA,MPAKA KIELEWEKE"
 
Tarehe 26 April ni siku ya muungano. Kama wamepewa ruhusa ya kufanya mkutano basi tuna mabadiliko makubwa na tunaanz kukomaa tuwasifu Polisi kwa hili.
 
Back
Top Bottom