mkutano wa dr slaa kasulu mjini

Maccm bwana roho zenu sijui za chuma hamfikirii maendeleo kazi majungu tu ona sasa mvua leo imenyesha kidogo tu barabara zote mitaro yote majanga msaidieni mkulu mawazo ya kuinua nchi nyie pigeni fitna tu mtakuja shtuka asubuh cdm haooo washachukua nchi tunahitaji ukombozi wa fikra sio ngonjera tu km zile za kina nape na weka tembo mbali
 
na bado mtasingizia sana ccm wakati nyinyi wenyewe ndo mmeliwasha gari, watu wapo Dodoma wanaendelea kusain sitting allowance, mtajuta mwaka huu.
 
Back
Top Bottom