ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,859
- 36,242
CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza
CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi
Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma
Usishindane na chadema
Huu ni mipango wa Mungu