Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,992
Naona ng'ombe wawili hapo wakishuhudia mkutano wa Chauma😂CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza
CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi
Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma
Usishindane na chadema
Huu ni mipango wa Mungu View attachment 3354847View attachment 3354854