PreGE2025 Mkutano wa CHAUMA wakosa watu Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa sisi watuliopitia geography Naomba nite tee Chama kwa kusema hizo picha zimepigwa asubuhi kutokana na muelekeo wa vivuli.
 
CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza

CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi

Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma

Usishindane na chadema
Huu ni mipango wa Mungu View attachment 3354847View attachment 3354854
Aliyewapiga picha hao ng'ombe hapo dah amekaa kisnitch sana 😃
 
Eti chama sera yao kubwa ni ubwabwa, kuna kukosa userious kwenye hii nchi
 
CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza

CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi

Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma

Usishindane na chadema
Huu ni mipango wa Mungu View attachment 3354847View attachment 3354854
Ccm pia bila kusomba watu mkutano wao unaweza kuwa na sura ya namna hii.
 
CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza

CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi

Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma

Usishindane na chadema
Huu ni mipango wa Mungu View attachment 3354847View attachment 3354854
Maskiniiiii!
 
Yaani sijaelewa hapa ni kabla ya mkutano au picha zimepigwa baada ya mkutano kuisha?
 
Back
Top Bottom