Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Watu wa Sumbawanga pia wanahitaji M4C, Kila siku Arusha tu S'mbawanga lini nyie wakina Lema,mnyika,Zitto,Mbowe,Dr.slaa na chadema yote kwa ujumla jitahidi basi mfike na huku du!

hayaaa!! Wamekuelewa. Wacha jazba mkuu.
 
haikuwa na sababu kabisa net ndiyo ilikuwa inasumbua nikawa natest, tuendelee na ule uzi mrefu
 
LEMA; Hii ni operesheni maalumu baada ya mimi kupewa honey moon!!

Wenyeviti wa vijiji wanakuja sababu wanaona sio dili, kwanza kabisa mnajua M4C ilizaliwa Arusha na ikatupa mbunge Nassari, wale mnaochelewa itafika siku itakuwa dili kuja CDM so wahini..

Wakati wamenipa hnymoon tulifunga na sasa mlipuko umetokea na leo m/kiti taifa yuko hapa kupokea wanachama, kiufupi CCM lazima ife, na hata leo kuna diwani alikuwa atoke ila tumemstukia na tumempiga stop kwanza!!

Leo kazi ya mkutano huu ni kuonesha dunia kwamba tunaenda kuchukua nchi, nimepata taarifa sasa hivi kuwa wanataka kuhamisha wamachinga mimi mwenyewe machinga na sitoki na ninyi msitoke hii ni salamu kwa M/ Mkoa na halmashauri...

Hakuna kulala, hakuna kuonewa, mpaka kieleweke...

Rufaa imeshafika mahakamani, utukufu wa sasa utakuwa zaidi ya ule wa mwanzo!!
 
LEMA; Matukio ni mengi!! Machinga hakuna kuhama, wakiwahamisha nendeni kilombero..

Sasa ni wazee wa kimila...
 
Ajenda inafahamika kuwa nia na makusudi ni kupata Raisi ambae anatoka Mikoa hii miwili Arusha ama Kilimanjaro sasa M4C waende Karagwe wakatafute nini? Nyinyi wengine mnatumika tu na ndiyo maana hapo kwenye base yao hawatoki wanafanyakila wawezalo na ni kila wakipata nafasi na pia wanafahamu kabisa kuwa sehemu nyingine ni ngome ya Chama Tawala hata wafanyaje hawatakubalika kamwe!
Nadhani Ndugu yangu wewe umelala unayedhani kuwa CDM iko kanda ya kaskazini tuu!!! Mbona juzi mchumi wa CCM wilaya ya Mbozi karudisha kadi na kupewa kadi ya CDM na watu maarufu 20 na zaidi. Kyaka Burifani CHADEMA kimeshinda uwenyekiti wa kijiji, hata Chato kwa Mhesimiwa Mgufuli tumusimika Mwenyekiti na watu kibao wamerudisha kadi za CCM!!! Wacheni hizo siasa zenu za kujidanganya moto wa CHADEMA unawaka nchi nzima ya Tanzania!!!Chadema Iringa, Mbeya, Mwanza, hamna mahali pa kuchomokea kubali mmekwisha!!!!

 
Milya anvikwa gorole la kimila la kimasai kuonyesha kuilami ccm
 
Tupieni na picha hata za awali ili kunogesha zaidi.
 
Milya unakabiziwa fimbo h usiwe ka kinyonga,. Uwe ka mussa aliewatoa wanaizrael misri utumwanu
 
TUKIO LA WAZEE; Wamemkalisha Ole Millya wanamvalisha vazi la kimasai

Wanamtuma akiwa amevaa mgolole

Le Millya, tunakukabizi uongozi wa Mila uongoze umati huu,

Tunakukabidhi fimbo kama kiongozi wa mila na desturi!!
 
James ole Milya anavalishwa vazi rasmi la kimila na wazee wa Kimasai kama ishara ya heshima ya kiapo cha uaminifu!

"usiwe kama kinyonga", anaaswa.
 
Wazee wanazungumza kimaasai!! ninaambulia neno CHADEMA tu!!

Tehetehe!
 
Back
Top Bottom