Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

"navua gamba,
ccm kama mamba inatulamba,
ni maji machafu hayafai hata kuchamba"

Ni maneno ya hiphop mojawapo jukwaani!

kundi la kwanza la watakaotawazwa leo toka Umasaini limeingia!

Lema, Mbowe ndani ya uwanja

... umati umelipuka!
 
Ritz acha upumbavu bana. Aliyesema watu mil1 ni gamba mwenzako, sasa unajifanya haumjui. Tena nadhani yule jamaa anaweza kuwa wewe

Mungi,
Ficha Upumbuvu wako Usifiche Hekima yako..Source Invisible.
 
Chadema ndio fahari ya kila mtanzania mpenda ukombozi wa kweli.
 
naona wamasi wame amka wanasema ccm na rusha ni ndugu....
 
Hii ngoma inapigwa sasa hivi imeimbwa na nani??
 
Wale waislamu wanaoikataa, Allah wafanye kama sisi, CDM sisi tunaikubali!!-Shehe!

Noel kwa niaba ya Imani ya kikristo anapiga sala!!
 
Kunashehe banana anaendesha swala kasema e Mungu isaidie chadema ituletee ukombozi wa tanzania na ukawafumbua wale waislam wanaoikataa chadema waikubali,. Make csisi tunaikubali
 
"waislam wanaoikataa CHADEMA sisi tunaikubali"

... anasema kiongozi wa kiislam aliyepewa heshima ya kutoa dua!
 
Mwenyekiti wa Wilaya Nanyaro anabonga!!

Anaomba wimbo wa Taifa!!

Kila mmoja asimame tuimbe wimbo wa Taifa...

Tuimbe wote kwa pamoja!!
 
Back
Top Bottom