Mkutano wa CHADEMA Sombetini

Mkutano wa CHADEMA Sombetini

Jamii forums wana skip picha za mkutano chadema? Aibu sana kwa maccm lkn. Hapa tarime kazi ni moja tu 2015 Kuwamaliza magamba
 
Tume ya uchaguzi iko chini ya serikali ipi? inaongozwa na nani? wadanganyenyeni hao hao wajinga!

Wapiga kura wa sombetini mara hii wamekuwa wajinga siyo? CCM mnawatukana wapiga kura?
 

Attachments

  • 2014-01-19 18.05.30.jpg
    2014-01-19 18.05.30.jpg
    225 KB · Views: 68
Mmekusanya wahuni tupu, hakuna mpiga kura hapo!

Mmezoea kukusanya watu sasa mnadhani ndio utaratibu! Hao unaowaita wahuni walikwenda wenyewe tena kwa miguu yao, bodaboda zao, magari yao na hakuna waliokusanywa bali walikusanyika wenyewe!
 

Attachments

  • 2014-01-19 17.28.58.jpg
    2014-01-19 17.28.58.jpg
    278.5 KB · Views: 59
Hizi porojo ndio zinasababisha nisifike kwenye mikutano ya CHADEMA, sikuzoea kudanganywa!
Kufika kwako hata ungekuja na ccm yote haikisaidii chama chenu, hata hivyo unaruhusiwa kuja kusikiliza hotuba makini za ukombozi wa fikra

MINI K ameshawasili?
Haya matusi hayakusaidii sana sana unajidhalilisha mwenyewe

Huu uchaguzi ulifanyikia geto gani?
Haujashirikisha akili yako kwa hii post

Weka Picha ya uzinduzi wa kampeni.
Nenda kawadai ccm waweke picha za uzinduzi wa kampeni zao tuone. Kampeni za sombetini ccm mnaenda kufanyia kata ya Elerai kulikoni?

Tunashukuru Mungu sasa hivi Miwigulu kawa waziri, sijui mkitupa mabomu kwenye mikutano yenu mtamsingizia nani tena.
Kwenu hata Shetani ni Mungu, na mbinu zenu zinajulikana, watanzania hawadanganyiki tena
Yale yale, manajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.
Pole

Acheni Porojo, tunataka kujua, hiyo mikutano 400 imemkomboa vipi mtanzania maskini?
Watu wa kanda ya ziwa wameshajitambua, ccm wana hali mbaya sana...

Tume ya uchaguzi iko chini ya serikali ipi? inaongozwa na nani? wadanganyenyeni hao hao wajinga!
Bila kulazimishwa na chadema wasingeitisha uchaguzi, mandondocha huwa wanawaza kushindwa tu

Tukio la soweto Lema alikutwa kajificha kwenye banda la kitimoto pale mianzini, aache kudanganya raia. Akishavuta anaongeaga ujinga sana.
Matusi hayakusaidii

Ndondocha ndio akina nani? MINI KABANG anazidi kuwehuka?
Matusi hayakusaidii

Lema kapata uwanja wa kuporomoshea matusi yake!
Wewe na Lema nani anatukana?

Nani kamdanganya shida ya sombetini ni maji?
Wewe kipindi cha kampeni huwa unapangisha kwenye kata ya uchaguzi tunakujua... mara Kimandolu, sasa Sombetini

tedo siku ukijitambua utajilaumu sana.
Wewe ukijitambua utalaani aliyekuchelewesha kujitambua

Malizia kuvuta bangi ukalale, huwezi kuita serikali inayokupa kila sababu ya kuitwa mtanzania, NDODOCHA halafu tukakuona una akili timamu.
Serikali inaongozwa na mandondocha ndiyo maana kila kitu hovyo hovyo

MINI KABANG amenenepa? ile KITU MBAYA imempenda kweli!
Matusi yanakudhalilisha

Mimi ninaishi SOMBETINI, nani kakwambia kuna shida ya maji? Tatizo lenu mnachanganya USELA na SIASA.
Sombetini ya kwenye keyboard

Niwape Pole nyie, maana SOMBETINI hamuambulii chochote, na mmewekeza nguvu kubwa sana!
Pole wewe unayejua matokeo halisi lakini unajitia uwendawazimu

Huko ndio kubaya zaidi kwa MBOWE na Dr.Slaa wanaotegemea ruzuku ya vyama kuganga njaa zao.
Wewe hapa upo kazini, na kwa hizi post sidhani kama utaambulia hata buku 2

Tedi unashabikia ujinga kwa ajili huna upeo wa kuona mbele.
Upeo wa kuona mbele kwako wewe ni matusi? Jitambue

Umeshawaza watoto wako watakula nini jioni ya leo? au hauna majukumu, unaishi kwa mjomba?
Wewe humu ndiyo unawatafutia watoto wako chakula? Akili ndogo sana wewe

Mtu mwenye majukumu huwezi kuapata nafasi ya kukimbia kimbia kwenye maandamano yasiyo na kichwa wala mguu, eti tunampeleka mgombea kwake! ujinga sana!
Akili yako inawaza maandamano tu


LEMA amekupa raha ee! najua LEMA anakufurahisha sana.
Matusi ndiyo silaha za ccm majukwaani, siyo kosa lako

Mmekusanya wahuni tupu, hakuna mpiga kura hapo!
Hata chaguzi za kata nne mlisema hivyo hivyo.

------------------------------------------------------------------
Mkuu umejitahidi sana kuibeba ccm, hongera lakini pole kwa kutwanga maji
 
Back
Top Bottom