Mkutano wa CHADEMA Sombetini

Mkutano wa CHADEMA Sombetini

Mkuu umehangaika sana........ Pole maana umepost upumbavu ambao Lumumba hukamati chochote

Niwape Pole nyie, maana SOMBETINI hamuambulii chochote, na mmewekeza nguvu kubwa sana!
 
Malizia kuvuta bangi ukalale, huwezi kuita serikali inayokupa kila sababu ya kuitwa mtanzania, NDODOCHA halafu tukakuona una akili timamu.


Kha ha ha ha ha ha haaaaa! Kijana sijui wewe mzee nakwambia utajaaga Dunia ingali unahitajika!

Hivi hauoni upo mwenyewe jukwaa hili kama mchawi? Pole jinga kubwa NDONDOCHA!
 
Niwape Pole nyie, maana SOMBETINI hamuambulii chochote, na mmewekeza nguvu kubwa sana!

Ha ha ha haaaaaaaaa!!!!! Dada MSALANI hebu wacha kunitengua mbavu zangu....Hebu ona aibu kidogo maana nikama umechanganyikiwa...

Fuata ule ushauri niliokupa...
 
Last edited by a moderator:
Lazima tushinde, na ntakuja kumpigia kampeni kamanda bananga huko, ngoja nimalize paper
operation ondoa ccm arusha 2014/2015.
 
Mimi ninaishi SOMBETINI, nani kakwambia kuna shida ya maji? Tatizo lenu mnachanganya USELA na SIASA.


Hata ungeishi katikati ya jiji nakwambia yenu mafisadi ni ngumu bhana!
Unaishi Sombetini sehemu gani? Unaweza ukawa wewe ni jirani yangu ila umekosa ushauri! Funguka MSALANI.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom