Acheni Porojo, tunataka kujua, hiyo mikutano 400 imemkomboa vipi mtanzania maskini?
Lema,
Kuna mtu amesajili namba inayofanana na ya kwangu, lakini yenye code namba ya airtel, anaeneza propaganda za udini, huyo mtu tumeshamjua, tumpuuze tutamshughulikia
Lema,
Kesho kutwa tunaanza operations nchi nzima, helcopter tano kwa siku kumi, agenda kuu ni rasimu ya katiba na kupanda kwa gharama za umeme na gesi. Kazi ya sombetini tunawaachia BAVICHA wakapambane na hawa ndondocha
Golugwa:
Haka kakijana kalikosimamishwa na ccm alikuwa reject kwetu, bahati mbaya kwake amekimbilia tena kwenye nuksi, chadema tunakwenda kushinda siyo kwa ajili ya kutafuta heshima, bali kwenda kusimamia miradi ya wananchi na kuwatumikia kwa haki na ukweli
Bananga,
Anampandisha mama yake jukwaani, anamfananisha na wamama wengine wa sombetini waliochoka. Nawaahidi watu wangu wa Sombetini kama familia moja, na wazee wangu wa Sombetini ni wazee wangu wote.
Anamwahidi Mawazo kuwa mpenzi wake nimempenda, na nitamlea kwa dhati, na kwamba mimi siyo boya, na wala siyo faala, kwa ishu ya maji nitalala kwenye ofisi ya mbunge mpaka nipate maji
Ndondocha ndio akina nani? MINI KABANG anazidi kuwehuka?
Lema kapata uwanja wa kuporomoshea matusi yake!
Bananga,
Anampandisha mama yake jukwaani, anamfananisha na wamama wengine wa sombetini waliochoka. Nawaahidi watu wangu wa Sombetini kama familia moja, na wazee wangu wa Sombetini ni wazee wangu wote.
Anamwahidi Mawazo kuwa mpenzi wake nimempenda, na nitamlea kwa dhati, na kwamba mimi siyo boya, na wala siyo faala, kwa ishu ya maji nitalala kwenye ofisi ya mbunge mpaka nipate maji
Lema,
Kesho kutwa tunaanza operations nchi nzima, helcopter tano kwa siku kumi, agenda kuu ni rasimu ya katiba na kupanda kwa gharama za umeme na gesi. Kazi ya sombetini tunawaachia BAVICHA wakapambane na hawa ndondocha
Nani kamdanganya shida ya sombetini ni maji?
Hawa mandondocha tunawatosha hakika! Hawana sumu hata kidogo!
View attachment 133244View attachment 133245View attachment 133246View attachment 133247
Chadema ni habari nyingine....
Lema kapata uwanja wa kuporomoshea matusi yake!
Tunashukuru Mungu sasa hivi Miwigulu kawa waziri, sijui mkitupa mabomu kwenye mikutano yenu mtamsingizia nani tena.