SOKON 1
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,134
- 331
Umeshawaza watoto wako watakula nini jioni ya leo? au hauna majukumu, unaishi kwa mjomba?
Umeshawaza wadogo zako wa form two waliofeli wanaendelea na kidato cha tatu bila kurudia
Umeshawaza watoto wako watakula nini jioni ya leo? au hauna majukumu, unaishi kwa mjomba?
Kha ha ha ha haaaaaaa! tedo unamsikia huyu NDONDOCHA?
Umeshawaza watoto wako watakula nini jioni ya leo? au hauna majukumu, unaishi kwa mjomba?
wewe choo ninauhakika wa kula na familia yangu kwa miaka mitatu labda pesa ya kibadilisha mboga ndiyo nitakosa na sidaiwi kodi..kama vipi mlete mkeo nimlee...
leo raha sana...
Acheni Porojo, tunataka kujua, hiyo mikutano 400 imemkomboa vipi mtanzania maskini?
Hivi hiyo mikutano 400 aliyofanya mawazo imeongeza nini kwa wananchi? Mawazo kabaki kupiga porojo na kuchumia tumbo, ngoja akose nafasi ya kugombea ubunge tuone kamahajahamia NCCR.
moja ya matunda ya mikutano ya Mawazo waulize Familia ya Mabina...au subiri chaguzi za serikali za mitaa..
Kwani ana mpango wa kugombea udiwani? Mawazo anachotafuta ni ubunge na sio kingine sasa anahaha kujaribu kuangalia ni jimbo gani agombee. Hawezi kugombea Arusha kwani anaujua moto wa Lema.
Then katika mikutano mia nne kama familia ya mabina ndo wamefaidika basi hapo hakuna efficiency coz effort kubwa return kidogo.
mkuu jifunze kusoma na kuelewa, nilichokisema nkikowazi kuwa mawazo kawaamsha sana wasukuma wenzake na matunda ya kuamka ni mziki alioupata mabina na kuhakikishia matokeo mengine subiria chaguzi za serikali za mitaa kuhusu jimbo gani atahombea mpaka sasa majimbo 9 kanda ya ziwa yamemuomba agombee na ni kuhakikishie huyu jamaa sioni mwanasiasa yoyote ndani ya ccm anaweza pambana na mawazo..jitahidi umsikilize anauwezo mkubwa sana...
Hivi hiyo mikutano 400 aliyofanya mawazo imeongeza nini kwa wananchi? Mawazo kabaki kupiga porojo na kuchumia tumbo, ngoja akose nafasi ya kugombea ubunge tuone kamahajahamia NCCR.
kwa hiyo unataka kusema,bora wewe unayehangaikia buk 7 kwa kupost uharo mitandaoni!!!??? shame on yu!Mtu mwenye majukumu huwezi kuapata nafasi ya kukimbia kimbia kwenye maandamano yasiyo na kichwa wala mguu, eti tunampeleka mgombea kwake! ujinga sana!
mkuu jifunze kusoma na kuelewa, nilichokisema nkikowazi kuwa mawazo kawaamsha sana wasukuma wenzake na matunda ya kuamka ni mziki alioupata mabina na kuhakikishia matokeo mengine subiria chaguzi za serikali za mitaa kuhusu jimbo gani atahombea mpaka sasa majimbo 9 kanda ya ziwa yamemuomba agombee na ni kuhakikishie huyu jamaa sioni mwanasiasa yoyote ndani ya ccm anaweza pambana na mawazo..jitahidi umsikilize anauwezo mkubwa sana...
Kwani ana mpango wa kugombea udiwani? Mawazo anachotafuta ni ubunge na sio kingine sasa anahaha kujaribu kuangalia ni jimbo gani agombee. Hawezi kugombea Arusha kwani anaujua moto wa Lema.
Then katika mikutano mia nne kama familia ya mabina ndo wamefaidika basi hapo hakuna efficiency coz effort kubwa return kidogo.
kamanda mawazo ni jembe la uhakika,magamba kama 300 yanaingia! kanda ya ziwa tunajivunia sana kupata mpambanaji kama mawazo,wasukuma wameamka na sasa wanajitambua wapo tayari kuizika ccm kupitia chaguzi zijazo!!!
Hizi porojo ndio zinasababisha nisifike kwenye mikutano ya CHADEMA, sikuzoea kudanganywa!