Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Slaa alishauriwa asiende ila akabisha...
Angalia ITV wananchi walivyojaa kasulu kweli zitto kapata aibu ya mwaka CCM wamewapa viroba wale vijana wamekamarwa na polisi miguuni kote uwanaonekana imeliwa na funza kweli CCM na zitto akili zao fupi
 
Hebu tazama hali za hawa watu zilivyo.....
Tazama walivyo utagundua hawana hata elimu kidogo tu....

ndo mana nilishauri kama mnafiki Zitto angekuwa na hoja angetushawishi sisi tuasi.lakini kaenda kuwatumia watu wasiojua lolote ambaye hata ukimuuliza nani kakutuma atamtaja
 
viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakiwamo Shaban Mambo Mwenyekiti wa chadema Kanda ya magharibi na Rajabu Bujoro Mwenyekiti wa Kasulu wamefungua mkutano hali ikiwa shwari watu wa Kasulu wakionesha ustaarabu wa hali ya juu. Lakini kufumba na kufumbua alipopanda jukwaani Dr Slaa Katibu mkuu wa CHADEMA Taifa kikundi cha watu kiliibuka na mabango mbalimbali huku wakitamka kwa jazba maneno mbalimbali ya kumtaka Zitto na kukejeli upngozi wa juu wa CHADEMA.

Katibu Mkuu ameonesha ustaarabu na demokrasia iliyokomaa alipo ruhusu mabango yasogezwe mbele na kuwataka askari polisi wasiwachukulie hatua wenye mabango. Pia aliwauliza wanakasulu ni wangapi wanataka mkutano uendelee wengi wamenyoosha mikono kutaka mkutano uendelee. Hali si salama sana na nimeacha mpaka naingia mitamboni polisi wanatafuta mbinu mbadala za kuimarisha ulinzi na kuongeza kikosi.

======================
Habari Zaidi
======================



===========================
Kwa Mujibu wa Kurugenzi ya Habari
======================
slaa amewahi sana kwenda kigoma
 
Katibu mkuu wa chadema leo amenusurika kufa baada ya wananchi wenye hasira kali kumshambulia alipokuwa akitaka kufanya mkutano wa hadhara kasulu mini. Wananchi walianza kwa kumzomea na baadae kumtimua kwa mawe kutoka jukwaani. Polisi walifanikiwa kumuokoa na kumkimbiza sehemu ya usalama.

Mbowe na Dr. Slaa wameshagundulika na wananchi kuwa ni mafisadi wa kutupwa katika vyama vya upinzani. Wanachama wakiwatetea wasipozihuzuru nafasi zao CCM itaendelea kutawala daima, wanachojali slaa na mbowe ni maslahi yao bila kujali maslahi mapana ya Taifa na imani waliyokuwa nayo wananchi kwa chadema.


HARAKATI MPYA ZA KUIOKOA CHADEMA KUTOKA KWA WEZI HAWA ZINAHITAJIKA

View attachment 125586 View attachment 125587 View attachment 125588 View attachment 125589 View attachment 125590

Kwanini msihame na huyo Zitto mnayemtaka kama hamtaki chama, piganieni katiba muwe na mbunge binafsi asiye na chama.
Ni gharama kubwa sana kukaa na m p u m b a v u
 
Last edited by a moderator:
Wacha walipige tuu maana halisikii hili zee.
 
thibitisha Bibi....huna hoja kampikee Babu...kama vipi angalia Nyomi ya huko Kigoma



usije ukasema ni A-Town sasa njooni na propaganda zenu nyoko nyoko nyoko chadema chama cha kazikazini

Hayo mabango waliyobeba yanasemaje?
 
Dr. Slaa atimuliwa Kasulu, ashambuliwa kwa mawe, mayowe na matusi. Polisi wamuokoa
Katibu mkuu wa chadema leo amenusurika kufa baada ya wananchi wenye hasira kali kumshambulia alipokuwa akitaka kufanya mkutano wa hadhara kasulu mjini. Wananchi walianza kwa kumzomea na baadae kumtimua kwa mawe kutoka jukwaani. Polisi walifanikiwa kumuokoa na kumkimbiza sehemu ya usalama.


Mbowe na Dr. Slaa wameshagundulika na wananchi kuwa ni mafisadi wa kutupwa katika vyama vya upinzani. Wanachama wakiwatetea wasipojiuzulu nafasi zao, CCM itaendelea kutawala daima, wanachojali slaa na mbowe ni maslahi yao bila kujali maslahi mapana ya Taifa na imani waliyokuwa nayo wananchi kwa chadema.


HARAKATI MPYA ZA KUIOKOA CHADEMA KUTOKA KWA WEZI HAWA ZINAHITAJIKA
 
Hizo hela sizingetumika kumaliza huu umaskini
Hawa watoto hapa wanatabasamu lakini wanamachungu sana
Embu ona hii alafu watu bado wanawakumbatia hawa mafisadi
Amkeni nyie watz tuwaondeoe hawa maccm

9.jpg
 
Hivi ndg mbona kila siku kauli mbiu yako haibadiliki, afu nasikia eti sijui ww ni Dr.? Dr. unahangaika hivi wakati vyuo vikuu vyetu havina walimu. Acha akina Simiyu yetu ndio wahangaike maana hawana kazi mjini, wamejaa pale lumumba juzi nimeenda kuwafuatilia kumbe hawana kazi yoyote wanashinda barazani lumumba. Ninyi ndio mnaibiwa hata wake maana mke anakuhitaji ukamfariji ww uko bize na watoto huku , kuwa basi Kondo, unajidharirisha ndg. Au ndio matatizo ya urojo? Hata walao urojo wengi tu wanahekima. Hovyooooooooooooooo

Namfahamu huyo jamaa alikuwa anasoma PhD lakini sina hakika kama kamaliza hadi kuitwa DR. Nimeshawahi fanya naye kazi fulani fulani ni tapeli kwa kwenda mbele. Hata kazi ya maana hana.
 
Nguvu ya zitto kisiasa ni kubwa sana slaa hawezi hata kulegeza kamba za viatu vya zitto amheshimu sana.

Zitto hata kama angekuwa na nguvu kama za tembo lakini mwisho wake ndiyo umefika.Hao mapandikizi wake wanao dhani kuwa wanamutetea ndiyo wanamusindikiza kaburini kabisa.Huwezi ukamutetea Zitto kwa kumushambulia Dr slaa ukiamini kuwa ndiyo kumusaidia Zitto.Ni kweli Zitto anaweza akawa na nguvu na akawa ni mtu wa muhimu kwa wafuwasi wake na kwa baadhi ya wana kigoma lakini aina ya mbinu wanazo zitumia kumtetea siyo sahihi na zinatakiwa zipingwe na watu wote wanaolitakia mema Taifa hili.Wale wanao muona Zitto anafaa pia wapo wanao muona Slaa anafaa na wako tayari kuutoa uhai wao kwa ajili ya kumutetea Slaa wao pia ipo mikoa mingi tu yenye wafuasi wengi wa Slaa nao wakiamua kulipiza kisasi.Huyo Zitto wao atakuwa na mahali gani pa kutembelea na atasimama mahali gani illi aweze kufanya mikutano yake au wanamanisha kuwa Zitto atakuwa wa Kigoma tu na atakuwa ni wa wafuasi wake tu basi?.
 
cdm ni taasisi kubwa sana , kama MCHANGE ANAHUSIKA , basi inshaalah ! yetu macho .
 
Back
Top Bottom