Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Mikutano yetu sasa tutalinda kwa gharama yoyote bila kuvunja sheria
 
Waitara Mkurugenzi wa CHADEMA ni muongo fujo hizo haziratibiwa na akina mchange ila wananchi wenuewe wamechoka na wizi, ubinafsi utapeli na ukanda wa Mbowe na Slaa. Wasipojiuzuru utakuwa mwisho wa CHADEMA ni aibu kwa mkurugenzi wa Chama ndugu WAITARA kukihofia kivuli cha Habib Mchange wakati habib yuko honeymoon kaoa jana tumemuona Diamond Jubelee VIP Hall akila Good time. Ni hatari kama chama kinaweza kuhofia Nguvu ya Habib na Diwani asiyejulikana.


1462142_638149032911011_1845764458_n.jpg
 
Kesho Mwandika uwanja wa nyumbani wa Zitto ndiyo balaa tupu.
 
Kigoma yangu maendeleo duni, elimu ya hovyohovyo, uchumi hovyo, chama tawala kimekaa madarakani miaka 50 bado leo wanafanya haya yaliyotokea?. Mimi ni mzaliwa wa Kigoma, waya wenzangu aibu kwetu, ujinga unaturudisha nyuma. Tutabakia hivihivi. Zito hatujui sisi tunaorusha mawe jama. Hana la kutusaidia.
 
Hizo hela sizingetumika kumaliza huu umaskini
Hawa watoto hapa wanatabasamu lakini wanamachungu sana
Embu ona hii alafu watu bado wanawakumbatia hawa mafisadi
Amkeni nyie watz tuwaondeoe hawa maccm

9.jpg

Huu ni Zaidi ya Usanii..mmmmh??!!
 
CHAMA gani cha upinzani bado kinapata msukosuko kutoka kwa wananchi? chama hakijashika dola na bado kinapata msukosuko wa mabango????????

Ni ngumu kushawishi kwamba hao wenye mabango ni CCM ambao wamekaa katikati kabisa ya wanachma wengi wa CHADEMA. Kitu rahisi tu kama ushabiki wa wa mpira kwamba shabiki wa yanga hawezi beba bendera ya simba na akaa katikati ya mashabiki wa simba.

Kama CHADEMA wanatumia ligic, hata huo umati uliojaa hapo ulikuwa hau msapoti SLAA bali wenye mabango.
Na ndio maana watu 15 wameweza kuvunja mkutano wenye watu ma mia kadhaa.

Ata ukiziangalia sura na mwelekeo wa watu wengi kwenye umati huo,utaona kabisa hawapo pamoja na anayehutubia.
 
Zitto afukuzwe haraka chadema ili tujipange upya. hatuwezi kuendelea na ubabaishaji wake.
 
Nivigumu kuzuia mageuzi ya fikra

Yahaya unaish wapi??

Kwani jina lako halisi nani??

Mara unajiita jason bourne na kusema ni usalama wa taifa,hakuna ajuaye..

Mara unasema wewe ni shushushu wa Dr.W.Slaa ili kutapeli watu,

Ili hali ndan ya chadema pia hufahamiki,Mara unajiita mtoto wa nyerere ili kulaghai umma...

Na kwa jins unavyodanga watu huingia king na kukufuata,kumbe ni njaa tuh na huna hela??

Yahaya,acha basi uchakubimbi
Ritz kahtaan faby MwanaDiwani,,tapeli anapatikana pande hizi leo
 
Last edited by a moderator:
Kigoma yangu maendeleo duni, elimu ya hovyohovyo, uchumi hovyo, chama tawala kimekaa madarakani miaka 50 bado leo wanafanya haya yaliyotokea?. Mimi ni mzaliwa wa Kigoma, waya wenzangu aibu kwetu, ujinga unaturudisha nyuma. Tutabakia hivihivi. Zito hatujui sisi tunaorusha mawe jama. Hana la kutusaidia.

Watu wamechoka kuonewa.

Slaa kahifadhiwa na polisi aliokuwa anawatukana!
 
Teh teh teh ningefurahi sana kama vijanaa hao wangenyanyua mabango ya kukataa kodi ya simu,kupanda kwa bai ya umeme,elimu duni lakini maskini hawajijui kabisa na hao hao ndio jua linawachoma kila siku na wanayejidai ati wana mtete yeye anakula good time ndani ya gari kubwa Hammer kiyoyozi kikubwa na hao vijana hata kwenye magetho yao hawana hata Feni lol aibu sana kwa Tanzania ama kweli ni vigumu sana kujenga nchi hii chini ya vijana wenye akili mgando kama hawa.Isitoshe Mabango yameandikwa na mtu mmoja yaani nina maana hati ni ya mtu mmoja so hawa wanatumiwa tu kama kondom then kesho hawawatambui tena.Kwa ufupi ni kwamba hata wanyanyue mabango hadi kesho bila kushusha mikono chini Zitto hana chake tena ndani ya Chadema. Yaani ni aibu kijana kupewa ati 5000Tsh sasa hii ni hela nayo jamani??

Asantee nilitazama picha pasipo kuzichunguza art iliyotumika ni ya mwandishi mmoja na sishangai ukisema wapo hapo kutokana na posho walizolipwa. ASANTE
 
Kitendo cha kumpiga mawe rais tarajali ni utovu wa nidhamu na adhabu kali inahitajika kwa watu hao.
 
Kesho Mwandika uwanja wa nyumbani wa Zitto ndiyo balaa tupu.

ukomavu wa kisiasa ni kushindana kwa hoja na si kutumia mamluki kuvuruga wananchi wasisikilize hoja za upande mwingine, mazishi yanahairishwa tu hayawezi kuachwa.
 
Back
Top Bottom