Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

haiwasaidii chochote ningewaona wa maana kama watu wangekataa kujitokeza kumsikiliza dr,sio watu wanakuja nyie mnaleta fujo ,sikia kitu kimoja hambacho ukijui,mioyo ya wanakasulu uwezi kuipeleka ccm,kwa fujo jaribu the other way giza halijawi kushinda NURU

Watu hawakuja kumsikiliza. Wamekuja kumzomea...
 
Nimesikitika palenilipo realize kuwayale mabango yaliandikwa namtummoja shame on you zzk ikosiku munguatasema basinaccm mtaonja sawana mlivyo pika
 
Wakuu,taarifa za kusikitisha ni kwamba Mkutano wa Dr.slaa umevunjika Kasulu,amepigwa mawee na vijana wasiojulikana akiwa Jukwaani,Polisi wanapiga mabomu ya Machozi Muda huu kutawanya watu,haijulikani Slaa ameumizwa kiasi gani lakini polisi wamewahi kumuokoa na kumtorosha kusikojulikana.
hali ni tete wakuu,naomba Munipe muda wa kuwawekea Picha hapa.
Pia awali Mkutano ukiwa unaendelea,Waitara ambaye ni Mkurugenzi wa CHADEMA alitangaza kuwa Matamko na mambo mengine yote ya kumtibulia Dr.slaa yanaratibiwa na Kijana Habib Mchange na Diwani mmoja wa Mwanza(Hakutaja jina).

MODS naamini mnawatu KASULU,wapigieni simu MUDA huu,Mpigieni Tumaini Makene mjue Ukweli huu.naomba muiache Post watu wachangie

1456056_1495108347381861_1615035006_n.jpg

Moja ya bango Mkutano wa slaa kasulu kabla haujavunjika
1501752_628750670520341_674011319_n.jpg
1479289_628751567186918_811022105_n.jpg
1451514_1495113007381395_459617808_n.jpg
1462988_1495113184048044_19835484_n.jpg
1476459_1495113377381358_40530360_n.jpg

kadi za CHADEMA zikiteketezwa kwa Moto
1426605_628753220520086_109526746_n.jpg
1455151_628753630520045_718586329_n.jpg
1454968_628755190519889_2098519903_n.jpg

Hebu tazama hali za hawa watu zilivyo.....
Tazama walivyo utagundua hawana hata elimu kidogo tu....
 
Leo kamanda! Utalala hoi umeishaanza kuwaita watu pimbi, Zitto ni zaidi ya Chadema lini mnamfukuza?

kawaida yangu, yaani wajinga wajinga kama nyie ili niweze kuwajibu mnatakiwa muwe kama watano hivi, kumfukuza Zitto siyo ombi tena ni taratibu tu...acha akawe mwenyekiti CCM maana mna mahaba nae sana kutwa chupi ina kutelemka kisa zitto...tunamfukuza
 
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mmoja wa kijana aliepelekwa kutoka Mwanza kwenda Kigoma, amenidokeza kuwa kuna mabishano makubwa yanatokea muda huu kule Kigoma kati ya vijana waliokodiwa kumshambulia na kuandamana juu ya dr. Slaa, amedai kua madereva bodaboda waliahidiwa kulipwa Tsh 5,000 ila matokea yake mlipaji aliwapa Tsh 3000 tu, wabeba mabango waliahidiwa Tsh elfu kumi ila mlipaji aliwapa Tsh elfu tano tu, vijana kutoka Mwanza walisaini mkataba wa laki tatu ila mpaka muda huu wameambiwa watapewa laki mbili tu, kwani laki moja imetumika kwa ajili ya mafuta ya costa iliyowabeba.
 
MABANGO YANAFANANA, MWANDIKO UNAFANANA, WINO UNAFANA, HATA WALIPOIBUKA WAMEYATOA WAKIWA PAMAOJA. CCM BANA, WANAJUA SANA KUEKTI PICHA UCHWALA. CCM WANANDHANI ADUI YAO NI SLAA NA CHADEMA. MNAJIDANGANYA CCM. ADUI YENU NI SISI WANANCHI TUMEWAKATAA HATA MUKITUMIA MBINU GANI. WNANCHI WA LEO DOT COM, TUNAJUA MBIVU NA MBICHI. MSITULAZIMISHE KUTUCHAGULIA WASALITI. WATUONGOZE MNAVYOTAKA NYIE, MMEFELI TENA. MTASHINDWA TU. UDHALIMU HAUSHINDI HAKI. Wait.
 
Zitto atakataaje kama hayupo ktk hili na yote anayotuhumiwa.
Serikali iwe makini ktk hili jambo la sivyo watu wataumia.
 
Last edited by a moderator:
kama bango linaandikwa 'Zitto kwanza chadema badae'.unadhani kuna hoja hapo?
Anaeweza kutoa hoja ya namna hiyo ni mwenye kiwango cha chini zaidi cha upeo wa kufikiri..hivyo kwa kulisha hoja za namna hiyo watu wa Kasulu, wanaofanya hivyo wanawadhalilisha sana Wanakasulu.
 
Tumeona LIVE Nimeona LIVE hapo ITV sasa nangojea wale wenye ubishi watueleze imekuwaje .
 
Back
Top Bottom