samaki2011
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 1,775
- 469
sasa nape anaseema ukawa itakufa kifo cha mende, ukawa imemtuma lisu kumtukana Kambarage, linamkaribisha mwigulu
Wimbo wa dansi umewekwa wanakata kwanza viuno. Mwigulu anaanza kwa kusema ccm hoyeeee watu kimyaaaaaa, anarudia tena ccm hoyeeeee watu kimyaaaaaaa. daaa hawa jamaaa wanajidhalilisha leo peupe kweli wamechemka bora hata wasingeurusha mkutano huu hewani.
watu wanaondoka mmoja mmoja mwigulu anaelezea hoja ya katiba mpya kwamba ilitokana na ccm, watu wanazidi kupungua jamani angalieni wenyewe star tv