Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Hao jamaa wamepewa mkate wa siku 5 tu ngoja nape na kinana warudi dar uone mchaka mchaka wao watakavyo pigika kimaisha
Watu wanatoka uwanjani baada ya nape kuanza kutukana viongozi akiwemo dr.slaa
Mbona wananchi wanaondoka kwenye mkutano wa Nnape ?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naona watu ni wawastani wamehudhuria wakiwa wamevaishwa kijani na njano hapa.
Nimeelezea kinachojiri, ni aibu sana kwa CCM ......mtoa mada mbona unahangaika sna vp?kulkon
LIVE from STAR TV, nape na kinana wanaendeleza uongo kwenye jimbo la Tundu Lisu singida, nape anatumia muda mwingi kuwaponda viongozi wa UKAWA badala ya kuonyesha njia za kutatua matatizo yanayowakabili wananchi. Kama uko home fungua star tv.