Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

alaf kaanza kusema eti hao wanaenda kunywa maji watarudi, watu wanaondoka utadhani ni maandano au wameitwa, nimecheka sana! jamaa hawajui kula na vipofu, hao wanaahibika kwa maneno yao watu wanasepaaaa!!

kaka nikweli aliongea hivyo hata mimi nimeona star tv, aibu kubwa bora wasingeirusha
 
Nape yule vuvuzela wa CCM kamuweka mahali pabaya sana Mbatia, akihutubia mkutano mjini Singida ulioonyeshwa na Startv leo amemtaka Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi amuulize boss wake Mbatia alipata wapi pesa zilizotumika
Kufanyia Uchaguzi ndani ya NCCR mageuzi.

Mytake
Hili swali limeficha mengi ndani yake ni vizuri Mbatia ajibu mapema kabla hali ya hewa haijachafuka.

siasa za nape ni sawa na kuchamba kwa kigunzi.
 
Wewe unakazania kumwita shamba boi,mwulizeni hela ya kwenda msibani kapata wapi?WAKATI KESHAMTIA MKEO MIMBA.
 
Madhara ya watoto wanaotokana na njia za michepuko ni pamoja na kauli tata
 
Ndiomana mi huwa nasema hivi, Kitendo cha CHADEMA kuungana na viongozi kama Mbatia na Lipumba ni kosa la karne, kama mtu ni mfatiliaji mzuri wa siasa utagundua mission ya Mbatia since mfumo wa vyama vingi vilipoaanza, Mbatia ana historia ya kutumika na CCM kuhujumu upinzani mfano uchaguzi wa Zanzibar wa 2000, So kwa hali hii tutaendelea kusikia mengi lakini ukweli utabikia kuwa tumeshapotea njia lakin hili tutaeelewa mwisho wa safari na sio sasa.

what if kama malengo ya chadema ni sawa na NCCR?? unaweza vipi kumtofautisha mbowe na ccm?? au kwa sababu anapiga kelele

CCM ni wahuni na very strategic
 
Nape yule vuvuzela wa CCM kamuweka mahali pabaya sana Mbatia, akihutubia mkutano mjini Singida ulioonyeshwa na Startv leo amemtaka Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi amuulize boss wake Mbatia alipata wapi pesa zilizotumika
Kufanyia Uchaguzi ndani ya NCCR mageuzi.

Mytake
Hili swali limeficha mengi ndani yake ni vizuri Mbatia ajibu mapema kabla hali ya hewa haijachafuka.

kwahiyo CCM waliuza majimbo 2015? au kwa maana nyingine majimbo yote chini ya NCCR ni rimoti ya CCM
 
TBC1 ilikuwaje hadi mwende Star tv? au mshagundua kuwa TBC1 is a public boycotted News Station!!!!
 
Wamegundua hatuangalii tena TBC wameona wajaribu Star Tv kumbe nayo wanaangalia wanaolazimika tu..wenye options aah wapi.
Ndipo hapo nasangaa kwa viongozi wa CCM kuamua kuitumia StarTV badala ya TBC kwani huduma hiyo Sahara Communications hawaitoi bure. Ingekuwa vema kama pesa hizo wakalipwa TBC ili kuiwezesha kujiendesha.
 
TBC1 ilikuwaje hadi mwende Star tv? au mshagundua kuwa TBC1 is a public boycotted News Station!!!!
Mkuu, huu ni uonevu tu kwa sie tusiopenda longo longo za watawala. Sidhani mkutano wa CUF unaweza oneshwa na TBC vyo vyote vile!!!!!!!
 
Back
Top Bottom