Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
naona nape anamtambulisha mwenyekiti wa chadema singida mashariki
sasa anaizungumzia Ukawa
naona nape anamtambulisha mwenyekiti wa chadema singida mashariki
mwenyekiti wa zamani wa chadema , anakiri amehongwa viwanja kwa ajili ya uchimbaji madini yeye na mwenyekiti wa ccm moa wa singida , na kupewa milioni 40 na kampuni ya wawekezaji hivyo ndio maana anaenda ccm ......aibu kweli hiii
Sema pia kuwa amekiri kuhongwa viwanja vitatu yeye na Mwenyekiti wa CCM Mkoa kwa ajili ya uchimbaji , na pia kampuni ya wawekezaji iliwahi nag shilingi milioni 40 .......
hivi mbona hakuna watu kwenye mkutano huo .......
Mtajibeba sana...na bado nyamaffffffMkuu wa mkoa na waziri nao wanatarajia kupanda jukwani kufanya siasa za ccm.
NB: Si watangaze kuwa sasa chama kimeshika hatamu?
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema , anakiri amehongwa viwanja kwa ajili ya uchimbaji madini yeye na Mwenyekiti wa CCM Moa wa Singida , na kupewa milioni 40 na kampuni ya wawekezaji hivyo ndio maana anaenda CCM ......aibu kweli hiii
Ukiwa kichaa km lissu ndio comment zenu hiziwatu waondoka baada ya kusemwa Lissu na dr slaa, watu wamemind wanaondoka, nape anasema achana nao waondoke, wanaenda kunywa maji watarudi, eh eh eh, jamani angalieni wenyewe! hapa hakuna uchawi wa picha, wanaangalia star tive live!!
Ukiwa kichaa km lissu ndio comment zenu hizi
hamna watu hapo. Wote ni viongozi wa chama wamejaa hapo